Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20x23 kinauzwa, kipo kitunda kivule tsh 2,500,000/=, maelewano yapo, pia kina matofali 600 nayauza kwa 550 kila moja.
Wasiliana nami kwa simu namba 0713-357542.
NI TECHOLOJIA YA KISASA AMBAYO NDIO INATUMIKA SANA KWA HIVI SASA.
ZINA UBORA WA HALI YA JUU NA BALBU(GROUPS) ZAKE NI BEI RAHISI SANA.
ZINA MASAA MENGI(8000 HRS) KULIKO PROJECTA NYINGI.
Matumizi...
Nafahamu wako wadau kadhaa wanaomfahamu Prof Mbwette, Mkuu wa chuo kikuu huria.
Nasikitika kuwaarifu kuwa mama yake mzazi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Agha Khan.
Msiba upo...
Habari zenu wakuu, Ninatafuta shule nzuri yenye Boarding kwa hapa DAR, Kijana wangu anasoma Boarding ya St. Marys ya Tabata(primary) nataka kumtoa kwa sababu hii shule ni ya kisanii, naomba...
Wana FOS - Friends of Slaa - Marafiki wa slaa
Tunakutana leo Saa Kumi Jioni - Hoteli ya Land Mark Ubungo Kujadili Mikakati ya Dr Slaa Kuyafikia Makundi Fulani Maalumu atakapokuwa DAR Kwa Vikao...
Nachukua nafasi hii kuwapa wapendwa wana JF,waislamu,wakristo,wanaume na wanawake,wazee na vijana,salamu za IDD.Kwa wote IDD njema na nawaombeeni mfurahi sikukuu hii wote kwa pamoja,tuonyeshe...
Jamani kuna folder yangu moja ina docs nyeti na muhimu naona imenakiliwa au kuporwa.. aliyeiona anirudishie... au aniambie ilipo nitaifuata mwenyewe. Ina picha, nyaraka, discs za video na audio...
Bandugu, Naomba ushauri: Ninataka kununua gari kutoka Japan mwenye uzoefu wa magari naomba anipe kaushauri kidogo, nilipe nisilipe?
Details:
Car type: Mazda Tribute
Model code: TA-EPEW...
Wana FOS wote,
Napenda kuwataarifu wote kuwa tunapendekeza kufanya kikao cha wana FOS wote siku ya Iddi Pili (Kwa maana hiyo itategema na muandamo wa mwezi, lakini ni Iddi Pili, hivyo Iddi...
Ndugu wanajamii, napenda kuwashirikisha kumbukumbu ya miaka 11 tangu marehemu baba yangu alipoaga dunia. Ilikuwa ghafla sana, bila kuugua, bila kusema neno la mwisho alipokuwa safarini. Uchunguzi...
[B]Kiwanja Kipo Madale Karibu na Kwa Kawawa kinafikika kwa barabara na kimezungushiwa michongoma bei yake ni milion 6 kuna maelewano na Hakuna Dalali.
Piga Simu 0715696920/0787585860/0786670121...
WATCH OUT!
URGENT!!! PLEASE CIRCULATE to your friends, family and contacts.
SENT AS RECEIVED.
In the coming days, DO NOT open any message with an attachment called:
BLACK MUSLIM IN THE WHITE...
Wadau, nahitaji mahali pa kufanyia biashara ya mgahawa jijini Dar. Pawe sehemu ya kuandalia chakula (jiko), sehemu ya kulia chakula pamoja na maliwato. Mwenye taarifa aniPM tafadhali.
Spanish CD has 14 books plus dictionary 15,000 Tshs
Arabic, Italian, French, Portuguese, German and Russian CDs has more than 3books 10,000 Tshs
Other languages such as Swahili...
Dear esteem friends;
Thank you for your support and posting your classifieds on Kijijibay!!!.
Attached please find a soft copy of our latest Classified Newsletter that lists items available for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.