Dairy Processors(Viwanda vya kusindika Maziwa Tanzania)

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,837
8,221
Wandugu nataka kufanya tafiti kuhusu Viwanda vya Kusindika Maziwa Tanzania vinavyofanya kazi vilivyopo kwa sasa,ningependa kujua majina na mikoa vilipo ,pamoja na kuwa nina orodha ya baadhi ya hivyo viwanda ningependa kupata uwingo mpana zaidi,hata huko Pemba,Zanzibar ,
Natanguliza shukrani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom