Used PowerBook G4 15'' for sale!!

alsaidy

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
334
88
Wana JF,

Nina Mac Laptop used ninaiuza please see below for further details

The following are the specs for my Power book G4 15'

Mac OS X Version 10.3.9
Processor 1.5 PowerPc G4
Memory 1GB DDR SDRAM

Apart from that it has the following accessories:

  1. 2 original CDs for system restore
  2. Mac office 2003 genuine
  3. Airport Extreme
  4. International traveler charger
  5. 2 books for learning and troubleshoot
  6. Normal charger for charging the laptop
  7. Apple wireless mouse connected to laptop via bluetooth

The price for this unit is TZS 1,000,000
For serious buyers please contact 0773/0715/0784 418866

Please note that this unit is used and not new but it is in good condition
 
Punguza bei, RAM ndogo sana
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Zungumza mkuu una sh. ngapi? Biahara huria ikiwa itanilipa tutamaliza biashara. RAM si zipo madukani unanunua 4GB mambo kama kawa!!
 
Zungumza mkuu una sh. ngapi? Biahara huria ikiwa itanilipa tutamaliza biashara. RAM si zipo madukani unanunua 4GB mambo kama kawa!!

mkuu hiyo MAC ni muda mrefu sana, yaani imekuwa manufacture 2001 - 2006.. fikiria upya hiyo bei uliyoanzia
 
mkuu hiyo MAC ni muda mrefu sana, yaani imekuwa manufacture 2001 - 2006.. fikiria upya hiyo bei uliyoanzia

Ni kweli mkuu kwa hilo sikatai, ninavyoona mimi bei ni reasonable kwa sababu ya accessories. Ikiwa utanunua separetely hizo accessories it will cost you more than what i qoute.

La pili sikutaka complication za kuweka bei za USD that's why naona still ni reasonable price.

La Tatu nipe bei yako mkuu hapa biashara huria usione aibu hata kama bei yako ni ndogo kama kwangu itanifaa tutamaliza biashara.
 
hi!!sikukatishi tamaa lakini kwa bei hiyo na model yake ni mac tena used na specs pia ni ndogo sana. Huwezi pata mteja haraka. Kwani kwa bei hiyo unaweza pata dell laptop mpya yenye specs kubwa kuliko hizo. Jaribu - all the best.
 
Ipo moja mkuu plus list ya accessories nilizoweka. Zungumza una sh.ngapi?
 
zungumza mkuu una sh. Ngapi? Biahara huria ikiwa itanilipa tutamaliza biashara. ram si zipo madukani unanunua 4gb mambo kama kawa!!

mkuu unarahisisha mambo kweli yan, hufanyi upgrading kwa kuamua tu, motherboard huwa zina limit ya size ya memory, hiyo yako nadhani kama ni ku-upgrade, basi maximum ni 2 gb.

Kwanza hiyo bei ni kubwa sana, kwa million 1.5 unapata mac book pro, slim yenye processor kubwa ram 4gb na hdd 500 gb.

Sasa hiyo yako ni legacy system. Angalau ungeanza na 1 mil.
 
Asante mkuu kwa ushauri wako mzuri wenye busara na ukweli ndani yake. Kwa experience yako airport extreme ukinunua separate unapata kwa sh.ngapi? Nikipata jibu la hili swali na revise bei sasa hivi.
 
Asante mkuu kwa ushauri wako mzuri wenye busara na ukweli ndani yake. Kwa experience yako airport extreme ukinunua separate unapata kwa sh.ngapi? Nikipata jibu la hili swali na revise bei sasa hivi.

Mpya unapata kwa US $ 150 mpaka US $ 170. Used hata $ 100 unapata. Nenda shoppers plaza, kuna duka la apple mle ndani.
 
Sawa mkuu nimekuelewa vizuri. I official announce that price has changed to 1M only that's my last price
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom