Natafuta contractor wa ujenzi!

DullyM

Member
Mar 24, 2011
72
18
Habari waungwana,
Je kuna bingwa humu anayejua au ana network ya jamaa wanaoshughulika na ujenzi?? Msaada waungwana nitashkuru sana.
 
nipo mimi hapa,,,mwanajamvi mwenzenu, an architect by profession, expert in designing and constructing buildings, main office in arusha, but also we are looking foward to open branches in dar and dodoma. We currently hav project continuing in these cities. For more info please pm or call 0785131616.
 
Habari waungwana,
Je kuna bingwa humu anayejua au ana network ya jamaa wanaoshughulika na ujenzi?? Msaada waungwana nitashkuru sana.

Contractor 0713876210/0784876210 or email;juincontractors@yahoo.com
 
Nashkuru waeshimiwa, Maana nilikuwa sijui nianzie wapi! Sasa nipo mtiririko wa mabingwa katika shughuli hiyo. Nitawagongea wote penye majaaliwa hapa wikiendi ili nipate kujua zaidi.
shukrani sana kwa msaada and i hope to get the best out of it!
cheers DullyM
 
Back
Top Bottom