Gari inauzwa- subaru forester, yr 2003; mil 15

Mrekebishaji

Senior Member
Mar 19, 2009
168
63
Gari inauzwa, piga namba 0784 419030, atakayehitaji picha, ni PM. Pia nitashukuru kupata msaada wa namna ya ku-attach doc, maana hapa link imegoma.
 
Japo hujaweka details za gari yako lakini milioni 15 kwa Forester ya 2003 ni bei kubwa mno. Jaribu kutembelea website za magari kama Tradecarview na Lucus, ulinganishe bei yako na bei halisi ya Forester ya 2003 kwa sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom