Hakuna dalali, njoo uone na ununue
Toyota DCM T 133 ACD lipo barabarani Temeke - Gongo la mboto, zima kabisa, body, engine, kila kitu safi,
Wasiliana nasi for more details
0715800001
0713453059
Vipo Mbezi Msumi kilomita 8 kutoka Mbezi mwisho.Vipo karibu na Kanisa Katoliki kigango cha Mt Teresa Benedicta wa Msalaba. Kuna usafiri wa daladala kutoka Mbezi mwisho mpaka hapo nauli shilingi...
Ina vyumba vitatu vya kulala. Sebure na jiko. Ipo Tabata Shule. Ina eneo la kutosha kuhifadhi magari mawili.kodi shs 350,000 kwa mwezi. Kwa maelezo zaidi piga simu nambari 0717114409
natafuta hostel, dar kwa ajili ya kuishi mieiz miwili ya august na september, maeneo ya kawe, msasani, moroco, kinondoni , mwananyamala, au popote pale mitaa inayokaribiana na hiyo, tusaidiane...
halo JF's
kuna alieshawahi kuagizia gari kutoka zenj? please naomba mchanganuo wa bei nasikia pia kuna ushuru mwingine kuiingiza bara, inafanyikaje hii? Pia kwa ushauri je ni rahisi kutafuta gari...
Naiuza Ipod touch 4th generation 8Gb ina kamera,bluetooth,wi-fi na vifaa vyake vyote original kama vile earphone,charge,usb cable pamoja na cd ya i-tunes.
Zinapatikana katikati ya Kimara Stop Over na kimara Suka. Zipo ndani ya kiwanja kimoja chenye ukubwa wa ekari moja. Kila nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, dinning, jiko. Zimejengwa...
laptop pentum (r)m mbili zinauzwa kwa sh laki 3 tatu na nusu tuuuuu na hazina tatizo kabisa 0764435828 nipo mabibo namba ya simu hiyo kazi kwenu kujimwagaaaaaaaaaaaaaaa.
I would like to kindly introduce to you Chinese buses through an agent AWANDE GENERAL ENTERPRISES. These include town buses, inter-city buses, tourists buses etc. For pics abd more details...
jiunge nasi, kwa burudani ya macho na mambo mbalimbali yanayohusu nchi yetu karibu jiunge nasi katika kutangaza nchi yetu na kuelimishana mambo mbali mbali yahusuyo nchi yetu katika forum ya...
NI MIMI NI MTUMIAJI WA KWANZA IMETUMIKA KIDOGO NDANI YA MWAKA MMOJA
BEI NI MILIONI 2.5
General
Camera Type: MiniDV, Digital
Dimensions: W16.9 inch (432 mm) x D8.5 inch (216 mm) x H8.8 inch...
MSAADA KWENYE TUTA TAFADHALI ..Bin TAFADHALI .
Ndimi Jovin Baro,
Mobile; 0654- 55 03 65
Email;jovinnb@gmail.com
Naomba kwa wana JF na Jamii kwa ujumla, kwa ambaye anaweza...
Below are Laptops and mobile phones for sale
HP ProBook 6450b BRAND NEW
SPECIFICATIONS:
Intel core i3 2.4Ghz,3GB RAM,320 HDD,
DVD RW,Webcam,Finger print,256,dedicated Graphics,
15" window 7...
Ndugu wana Jf,natafuta betri ya laptop aina ya lenovo T61,napatikana singida na mwanza,yeyote mwenye uwezo wa kuipata awasiliane nami kupitia number 0784 607 939
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.