Msaada Tutani Wana JF!!!

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,374
Habari wa JF!
Siku kadhaa niliweka thread iliyouliza kuhusu magari, niliomba ushauri kuhusu gari na wengi walinishauri nitafute Nissan March au Vitz au Fun Cargo. Lakini katika kuperuzi nimeona Nissan March moja nzuri sana kwenye Web ya Trade Carview,
Je hawa jamaa (Tradecarview) ni waaminifu kwa mnaowafahamu nisijeingia choo cha kike?
Pili gari hiyo ni cc 1000, na ni ya mwaka 2001 ni nzuri kwa wenye ujuzi nazo?

Tatu, Katika kupiga mahesabu kupitia website ya gari yangu nilipata total ya 2,334,650/ Tshs, je hii sijaelewa ni kwamba kila kitu hapo nimemaliza kweli? Nikimaanisha kwamba naendesha gari mtaani bila wasi wowote?

Ninatanguliza shukrani zangu kwenu kwani mpaka hapa mmenisaidia sana!
 
Tradecarview hawauzi magari, ni gulio tu! Angalia wauzaji ambao wamekuwepo tradecarview kwa muda mrefu: au angalia kama anakubali paytrade (gharama kdg), lakn most of them wanaweza kudeliver.

Bei ya hiyo gari........M2.3 DU, Angalia vizuri calc zako (au umeingiza FOB Price?)

Hebu weka link ya hiyo gari tukuangalizie.
 
Na mimi nimeshangaa bro thus why nikauliza hapa, Nilicalculate kupitia website ya gari yangu na ilisoma hivi na kwa maelezo ya jamaa aliniambia ile website ya gariyangu inacalculate gari mpaka inafika nyumbani kwako. But this price is amazing lol...!!! Nisije nikaingia choo cha kike nikauzia gari bandarini hahahahhaaa!!

CIF 750 USD 1,127,850 TZS
IMPORT DUTY 188 USD 281,963 TZS
DUMPING FEE 188 USD 281,963 TZS
EXCISE DUTY 0 USD 0 TZS
VAT 203 USD 304,520 TZS
TOTAL TAXES 578 USD 868,445 TZS
PORT CHARGES 150 USD 225,570 TZS
L/SHIPPING LINE 75 USD 112,785 TZS
TOTAL COST 1,553 USD 2,334,650 TZS
 
Ooooh! Imekaa vibaya but i hope you can understand......sorry for that
 
mkuu hakuna gari ya CIF 750.
1. Freight is not less tham $900
2. INsurance is $50
3. Ispection is $250

Nina uhakika unatudanganya hapa
 
Mkuu kuhusu uaminifu wa hao jamaa sijui na kuhusu mwaka 2001 si mbaya but kwa cc 1000 sina hakika kama litakuwa zuri na hiyo bei mkuu angalia usije uziwa mbuzi kwenye gunia inawezekana limechoshwa mpaka basi naona ni kama bei ya bodaboda hiyo. Angalia imetembea km ngapi!
 
Kaka mkubwa tuhuma nzito hizo za uongo, n`way sababu ya mimi kuomba ushauri wenu ni kwa sababu sielewi vyema hili swala na kabl ya kufanya jambo ni vyema ukalichunguza ili uweze kwenda na confidence.

Ok, fuata hii link bro then unielekeze vizuri, nadhani tutapata suluhu zaidi.
Nissan March [ tradecarview ]

mkuu hakuna gari ya CIF 750.
1. Freight is not less tham $900
2. INsurance is $50
3. Ispection is $250

Nina uhakika unatudanganya hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom