Landrover Free Lander
Mileage 68,000miles only
Engine is in immaculate Condition
UK Import
Model 2004
Owned and driven by a lady Driven in Urban/Town Roads only
Car is in Dar
Bei ni Tshs.14...
hi wandugu,
Naomba kuulizia ,Ninataka kusafirisha vitu vyangu hapa USA kuvileta Arusha nyumbani
kama kuna mtu ambaye ameshawahi kusafirisha container kutoka hapa USA to Mombasa Kenya alitumia...
Iphone 3GS 16GB Unlocked inapatikana Arusha kwa 550,000/=..ilianguka na kuweka Crack kwenye Screen kama inavyoonekana kwenye picha. Touch Sensitivity bado ipo vizuri na simu inafanya kazi kama...
Wana JF naomba msaada wetu, naomba mnijulishe kuhusiana na mashirika yanayokodisha magari (nataka gari la kukodi) kwa Dar es Salaam. Nitafurahi kama mtanijulisha na gharama zao zilivyo kwa siku...
Wana JF natafuta nyumba ya kunua Dar maeneo ya Magomeni mikumi, kagera au mapipa, naomba msaada wenu hata kama ni nyumba chakafu nimepata visenti kidogo, je naweza kupata nyumba maeneo hayo kwa...
Wapendwa kwa bahati mbaya nilipoteza laptop ya ofisini, nahitaji laptop aina ya Samsung 2 GB, used size ya kati sio mjuzi sana kwenye screen size, mwenye nayo naomba anipigie 0656205308.
wadau nisaidieni, naomba kama mwenye details zozote kuhusu hili, nyumba iwe na vyumba 2 vya kulala (kimoja kikiwa self contained itapendezazaidi), sebule kubwa ya kutosha, na stoo. pia kama meter...
Habari za wakati na salamu za sikukuu ndugu wanajukwaa la jamii,
Tunayofuraha sana kujitambulisha kwenu na kwa umma wa watanzania waishio ndani na nje ya mipaka yetu ya kijiografia, Darproperty...
nahitaji mashine ya kukobolea mpunga (SB-50 Rice Mill machine) kuna yoyote anaejua bei zake kwa sasa na inapo patikana na contact zao? natanguliza shukran
Hi Waheshimiwa,nahitaji kujua wapi naweza pata au mwenye Toyota Starlet ya bei ya kuridhisha ili mradi iwe haijatembea hapa kwetu and unregistered, Year 2000 or latest,manual /automatic,white...
Kiwanja/viwanja vinauzwa kwa ujumla. Hekari 20 kwa mil 70. Eneo lipo kiluvya maeneo ya kwa Sumaye(waziri mkuu mstaafu). Ni umbali wa kilomita 9 toka barabara ya Dar-Morogoro.
Kwa mawasiliano...
Habari wana jf!
Kuna kiwanja chenye hati kinauzwa bei chee
kiko kipawa mpya aka kwa mbike na kiko tambarare
ni vile viwanja waliopewa watu waliohamishwa kipawa kupisha ujenzi wa uwanja wa ndege...
Ipo Kimara Temboni Saranga. Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, gereji na jiko. Haijakamilika. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 34 kwa 26. Bei shilingi 25mil. Maelewano yapo. Kwa...
SHIMI ENTERTAINMENT tunatoa huduma za Music na MC, Photo and Video Shooting kwenye sherehe na shughuli mbalimbali. Pia tunafanya promotion za bidhaa mbalimbali kwa street music na dancers. SHIMI...
.
Ipo Mbezi Shamba kwa mzungu pembezoni mwa barabra iendayo Mbezi Makabe. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 29 kwa 27 Ina vyumba vitatu vya kulala, masta na jiko. Haijakamilika. Bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.