Je unahitaji ulinzi au walinzi???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unahitaji ulinzi au walinzi????

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Echolima, Apr 11, 2011.

 1. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Kama ndiyo kampuni ya ulinzi ya KALU SECURTY inaouwezo wa kutoa huduma hiyo kwako tunatoa huduma ya ulinzi kwenye Makampuni mbali-mbali,shule,maofisi,na sehemu mbali-mbali utakazotuhitaji kulinda.
  Tuna walinzi waliopewa mafunzo vizuri sana pia walinzi wetu wana vifaa vizuri vya kutendea kazi na kwa upande wa mawasiliano tunazo Radio-call kwa kila lindo
  KALU SECURITY GUARDS LTD omesajiriwa rasmi Dar-es-salaam na tuna tawi wilaya ya Kahama,shinyanga.
  Kwa mawasiliano zaidi 0754-415306 au 0787-415306
   
 2. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mna Boardguards?
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wekeni picha za boardguards wenu tuwaone
   
 4. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  IMG_0582.JPG
  Hao ni baadhi ya askari wetu,pia bodyguard tunao
  Kama unahitaji huduma hiyo tuwasiliane tutakufikia popote
  hapa Tanzania
   
Loading...