Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

Kachoki

Member
Feb 2, 2010
29
4
Habari wana JF members
Ninauza Soseji kutoka Peramiho, Songea Mkoani Ruvuma ni soseji nzuri kwa familia. Watoto huzipenda sana hizi, ukizihitaji tafadhali wasiliana nami kwa simu 0715 497259 au 0784 497259 utaletewa.

Bei ni shilingi 13,000/=
 
Duka lipo wapi mkuu au nyumbani?
 
Mkuu,
Ahsante kwa taarifa. Ila kwa faida ya wengi ningependa utuwekee ingredients zake pamoja na ujazo/uzito wa hicho kifurushi cha TZS 13,000.00.
Nawasilisha.
 
Mkuu duka lipo katika ukarabati na maandalizi ila kwa sasa unaletewa popote ulipo, tunafanya delivery kwa hapa dar, unachotakiwa ni kufanya mawasiliano kwa kutumia namba 0715 497259 na 0784 497259.
 
Mkuu,
Ahsante kwa taarifa. Ila kwa faida ya wengi ningependa utuwekee ingredients zake pamoja na ujazo/uzito wa hicho kifurushi cha TZS 13,000.00.
Nawasilisha.
Nakukushukuru sana ingredients zake ni Nyama ya ng'ombe, chumvi,viungo ambayo ni amdalasini,pilipili manga na hiriki ni hivyo tu MKAA MWEUPE
 
Habari wana JF members
Ninauza Soseji kutoka Peramiho, Songea Mkoani Ruvuma ni soseji nzuri kwa familia. Watoto huzipenda sana hizi, ukizihitaji tafadhali wasiliana nami kwa simu 0715 497259 au 0784 497259 utaletewa.

Bei ni shilingi 13,000/=

weka picha tuzione zilivyo
 
Ukweli hawa jamaa wanatengeza soseji zenye kiwango cha hali ya juu sana, pamoja na kuwa kiwanda chao kinasuasua hivyo someteimes supply si ya uhakika! Niliwahi kuwatembelea hapo kiwandani, ni wakarimu sana; nilivyouliza "swali la ingredients" wakaniambia zile basics kama alizotaja mdau hapo juu, lakn wakasema the exact formula na makorokoro mengine wanayochanganya is a trade secret! Wanatengeneza soseji za beef na pork, bila kusahau smoked (my favorite).....wana bidhaa nzuri: though wanalack vifungashio na marketing!
Unajua wakati naaga waliniambiaje: "chukua kiasi chochote kwa kila product uwapelekee watoto nyumbani!"
 
Asante Amoeba kunifanyia maelezo zaidi kuhusu hizi soseji sasa nikuletee ngapi? fanya oda yako pia asante kutambua kuwa siye ( siyo wote) tuliotoka PERAMIHO NI WAKARIMU!!!!!!!!!!!!!! wengine karibu sana PERAMIHO
 
kaka leta na dagaa nyasa wale samaki watamu hakuna tena mbasa na mbelele na urusti soseji ya kitifire aka soseji za kitimoto ikiuzwa pale ANGONI ARMS!!!
 
kaka leta na dagaa nyasa wale samaki watamu hakuna tena mbasa na mbelele na urusti soseji ya kitifire aka soseji za kitimoto ikiuzwa pale angoni arms!!!

vyote hivyo vitapatikana hapa dar tupo ktk maandalizi
asante
 
Kachoki,

Packaging yake ipo kama zile za Arusha? Au kilo moja unamaanisha nini?

Hizi ni soseji tofauti kabisa na zile za Arusha, hizi ni kubwa na nene zenye uzito wa kilo moja inakuwa one piece nitakuwekeeni picha hapa ili iwe rahisi kuzitambua
Asante
 
Asante Amoeba kunifanyia maelezo zaidi kuhusu hizi soseji sasa nikuletee ngapi? fanya oda yako pia asante kutambua kuwa siye ( siyo wote) tuliotoka PERAMIHO NI WAKARIMU!!!!!!!!!!!!!! wengine karibu sana PERAMIHO

Sengwile mzee, mimi sipo dar, pia huwa naagiza palepale kiwndani kw br....., kwa ile bei yetu yenye eight mwanzoni!
UKIBAHATIKA KUFIKA, SOSEJI NI MOJA YA VITU VIAKUFANYA USISSAHAU PERAMIHO!
 
Jamni hizi kitu za ukweli,
enzi zangu na safiri maeneo ya huko Mbinga, Litembo, Nantumbo, nikifika Songea tu naulizia hizo kitu!!!!!!
 
hapa dar mnapatikana sehemu gani?, mi nataka niwafuate hapo hapo dukani au kiwandani kwenu,
ili nikiridhika na quality na quantity ninunune nisiporidhika nisinunue.
naogopa kukupigia ksb naweza nisiridhike na bidhaa yenu halafu nikanunua tu shingo upande kukuridhisha wewe tu.

Ukweli hawa jamaa wanatengeza soseji zenye kiwango cha hali ya juu sana, pamoja na kuwa kiwanda chao kinasuasua hivyo someteimes supply si ya uhakika! Niliwahi kuwatembelea hapo kiwandani, ni wakarimu sana; nilivyouliza "swali la ingredients" wakaniambia zile basics kama alizotaja mdau hapo juu, lakn wakasema the exact formula na makorokoro mengine wanayochanganya is a trade secret! Wanatengeneza soseji za beef na pork, bila kusahau smoked (my favorite).....wana bidhaa nzuri: though wanalack vifungashio na marketing!
Unajua wakati naaga waliniambiaje: "chukua kiasi chochote kwa kila product uwapelekee watoto nyumbani!"

Niliwahi kwenda mahali pale nikamkuta yule sister (bibi) akaniuzia na kunipa za kutumia njiani na nyumbani kweli nilizifurahia zile soseji. Huyu jamaa sijui anayo smoked meat maana niliipenda sana. Ngoja nimpandie hewani hizi taarifa ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom