Natafuta Mac book

Natafuta Mac book

mimi naweza kukuletea yangu mpyaa mwishoni mwa july. niambie unakiasi gani?
 
mimi naweza kukuletea yangu mpyaa mwishoni mwa july. niambie unakiasi gani?

Even me natafuta kama nitafikia bei yako,juc tel me nishling ngap?i cn wait in july bt ntafurah nkipata in dis month!
 
Nenda Elite Computers iko pale JM Mall au Shoppers Plaza ghorofa ya kwanza.
 
Ila issue mkuu ni utengenezaji japo ni tatizo la nadra kwa Mac brands. Macbook pro yangu iliharibika baada ya mtoto kuimwagia juice iliishia kufunguliwa na kutoa hadi disk, na kuharibu keypads na hao jamaa wa Elite computers kwenye office yao ya Upanga. Wakasema nikitaka watengeneze nitoe 1.6m! Ninawajua watu walioko US kama dada Subi mwenye website ya Wavuti.com. Yeye waweza mpa pesa (kupitia account yake ya nbc)baada ya kuchagua uliyoina kwenye kwenye net. Hataongeza hata senti, zaidi ya gharama ya Fedex. Akishanunua ndani ya siku tatu hadi nne itakuwa mikononi mwako. Umefanya chaguo zuri kutafuta Macbook.
 
Pls unaweza kunipa ufafanuzi vizur juu ya dat persn mwny wavuti.com?au ni PM namba yko thn nikucal
 
Hapa kuna mtu ametangaza anauza anazo muangalieni kwenye matangazo madogo madogo katoa na namba zake za simu,kazi kwenu
 
mkuu nianze kutaja bei hata sijauona mzigo wenyewe...we ndo unaongea mkubwa...afu mimi nikishauona ndo tunaongea bei
 
Wakuu mi ninayo mac powerbook G5 15'' ina kila kitu mpaka airport extrem pamoja na cd zake na microsoft office 2003 geniune. Nitaweka picha soon.
 
The following are the specs for my Power book G4 15'

Mac OS X Version 10.3.9
Processor 1.5 PowerPc G4
Memory 1GB DDR SDRAM

Apart from that it has the following accessories:

  1. 2 original CDs for system restore
  2. Mac office 2003 genuine
  3. Airport Extreme
  4. International traveler charger
  5. 2 books for learning and troubleshoot
  6. Normal charger for charging the laptop
  7. Apple wireless mouse connected to laptop via bluetooth

The price for this unit is TZS 1,600,000 price negotiable

For serious buyers please contact 0773/0715/0784 418866

Please note that this unit is used and not new but it is in good condition.
 
Attachments

  • 11032011(004).jpg
    11032011(004).jpg
    228.7 KB · Views: 49
  • 11032011(007).jpg
    11032011(007).jpg
    230.6 KB · Views: 50
  • 17042011(001).jpg
    17042011(001).jpg
    269.4 KB · Views: 75
  • 17042011(003).jpg
    17042011(003).jpg
    336.3 KB · Views: 44
  • 11032011(009).jpg
    11032011(009).jpg
    262.6 KB · Views: 44
  • 11032011(003).jpg
    11032011(003).jpg
    212 KB · Views: 42
  • 17042011(004).jpg
    17042011(004).jpg
    179.3 KB · Views: 67
  • 17042011(002).jpg
    17042011(002).jpg
    341.7 KB · Views: 68
  • 11032011(005).jpg
    11032011(005).jpg
    226.1 KB · Views: 43
  • 11032011(010).jpg
    11032011(010).jpg
    244.1 KB · Views: 54
  • 11032011(006).jpg
    11032011(006).jpg
    338.4 KB · Views: 44
  • 11032011(011).jpg
    11032011(011).jpg
    218.8 KB · Views: 45
  • 11032011(008).jpg
    11032011(008).jpg
    250.2 KB · Views: 45

Similar Discussions

Back
Top Bottom