kwa wale wanaohitaji pool tables:
zinapatikana kwa bei zifuatazo:
mpya category 1-1.55m
mpya category 2-1.35m
Used-laki 9.5.
mawasiliano ni 0713327429.
karibuni sana.
Habari wanajamii, Naombamsaada wa mtu yeyote anayeweza kunisaidi website ya mishono (mitindo) mbalimbali ya vitenge, vikoi na batiki.
Natanguliza shukurani zangu.
Wakuu nahitaji gari ndogo(saloon) ya kununua iwe ni GX100 Chaser au Mark II.
Bei isizidi 6.5m na iwe ktk hali nzuri na pia lisiwe la rangi nyeupe(white).
Kama kuna mtu analo aniPM..
kuna plot inauzwa ina offer mahali pazuri, ukubwa ni square metter 917, kipo kwenye kona karibu na designated open space. Kipo Block 13 Buyuni, manispaa ya Ilala.
bei ni maelewano, call 0715 92...
Ndugu wana jamiiforums na wengineo,
Kuna shamba la ekari 10, kati ya hizo hekari 3 ndizo zinauzwa. Liko eneo la VIANZI karibu na shuke ya secondary mpya inaitwa VIANZA. Linapakana na hiyo shule ya...
Wanted Plot of land to buy
Approx price wanted: TZS 150000000 in
DAR ES SALAAM,
Tanzania
- A NICE BEACH PLOT INTERESTED AREA KAWE,MBEZI
BEACH,JANGWANI BEACH,MASAKI,HAISELASSSI...
Ni ya vyumba viwili na sebule na ina uwanja wa kutosha kujenga nyumba ya vyumba vinne ipo karibu na shule ya msingi kimwani bei ni sh 7000000/= vilevile mapatano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.