Radio production course | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio production course

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Radio Producer, Apr 10, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Salam wana JF,
  Kwa wale wote wanaotaka kusoma Uandishi wa Habari, Utangazaji na Radio Production naomba uni PM ukieleza haya:-
  1. Unaishi wapi??
  2. Upo tayari kusoma kuanzia lini??

  Nitakupa gharama zetu zote na utaratibu mzima. Tunataka kujua idadi ya wanafunzi wote! Asante.
   
 2. S

  Stone Town Senior Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: May 28, 2007
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asalamu Alaykum mimi nataka hayo mafunzo lakini naona hakuna details zinazoeleza suala hilo naomba kufahamu kwa sababu nahitaji kujua yatachukua muda gani kwa sasa kuanzia mwezi wa agosti sitaweza kujiunga ikiwa kabla au baada basi nipo tayari ila mimi nipo zanzibar, hata hivyo natanguliza shukurani kwa dhati kabisa
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,604
  Likes Received: 18,643
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu Radio Producer, juzi juzi ulikuja humu kwa utambulisho wa kitafuta kazi baada ya kuhitimu kozi ya Radio Producer.
  Tukakuelejeza sehemu za kuomba kazi lakini kutokana na elimu yako ya vyuo vya uchochoroni, hukujisumbua hata kutafuta hiyo kazi japo upate experiance.
  Sasa leo ndio yamekuwa haya!? yaani ghafla umekuwa mwalimu?! au na wewe baada ya kihitimu uchochoroni sasa nawe umefungua uchochoro wako kutaka kuwalia watu pesa zao?!.

  Kama wewe ni mkweli na sio tapeli naomba ueleze tuu hayo mafunzo mtayaendeshea wapi ili nijitolee kuwafanyia due diligence wana jf kabla hawajaingizwa mkenge.
   
 4. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kwa haraka haraka ndugu yangu kama uliona post yangu ya kwanza kuna ndugu mmoja alinicomment akasema niko over qualified so alinishauri nifanye kazi kwa contract na mimi nikaanza kulifanyia kazi! Isistoshe mimi sijasoma uchochoroni kwa taarifa yako, na niko certified as International Trainer from International Communication Training Institute ya Uk nilikopata masomo yangu ya training! Kwasasa nitakuwa nashirikiana na vyuo vilivyoanzishwa tayari ili kufundisha masomo hayo! Kuna plan proposed na Day star college ndio maana nimeomba wanaoweza soma hii kozi waweke wazi tuwalink na watapata mafunzo quality! Ukitaka kuona proposal iko jukwaa la lugha imeandikwa NIASAIDIE KUICHAMBUA HII PROPOSAL kasome then uback! Hakuna ubabaishaji hapa! then nilishafanya sana ajira za kazi hii nimefikia wakati wa kuanza mchakato wa kuwa na media house yangu!
   
 5. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Ok, tayari nimeKUPM cheki data
   
Loading...