Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jamani ninatafuta toyota collora wadau,iwe na sifa zifuatazo:- 1.iwe ni 110 au 111 ya atleast mwaka 1999 na kuendelea. 2.kama ni used iwe angalau imeingia nchini mwezi wa 5 mwaka huu. 3.iwe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
A/alaykum kwa yoyote yule mwenye kutaka kununua ice cream machine ninazo 3 kutoka uk model taylor manufacture usa ninazo katika godown langu zanzibar pamoja na gari kabila gulf vw kwa maelezo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba ya vyumba viwili self contained,sebule,jiko zinzhitajika maeneo ya Bwiru,Kirumba,Nyamagana,Nyegezi,maeneo ya CBE Mwanza na viwanja na mashamba vinahitajika pia maeneo ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
........
0 Reactions
15 Replies
2K Views
NYUMBA NA KIWANJA CHENYE UKUBWA WA EKA 1 VINAUZWA MAENEO YA MBEZI BEACH KARIBU NA SHULE YA GREEN ACRE . ENEO LINA USALAMA WA KUTOSHA. KWA WANAOHITAJI NITUMIE EMAIL UNITAJIE NAMBA YAKO YA SIMU...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
VIWANJA VIWANJA vipo MBEZI makabe/msakuzi vimepimwa . Bei 20x20 1.5m, 22x20 1.8m, 25x20 2m. Hakuna udalali (kwa taarifa zaidi piga: 0715 05 55 77 or 0769 05 55 77)
0 Reactions
3 Replies
3K Views
I'm looking for a Cisco serial cable CAB-530MT, new/used any Jamii member who have or can assist wea to get it i will appreciate, zungu.business@gmail.com Thenki yu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa anayejua, anisaidie (One-Way) fares za precission air toka miji ya; Dar - Zbar Zbar - Arusha Arusha - Dar ...Wanayo website lakini haijakamilika, Natanguliza shukrani.
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kwaniaba ya rafiki yangu,anatafuta nyumba ya kununua dar maeneo ya kimara,tabata,chan'gombe etc bajeti yake sh mil 30,iwe kubwa na nzuri,pia iwe na nafasi kiasi ,isiwe uswahilini, matengenezo yawe...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
NAPENDA KUWAKARIBISHA KWENYE MKUTANO WA FOS KESHO JUMAMOSI TAREHE 25 MAHALI : LANDMARK HOTEL UBUNGO MUDA : KUANZIA SAA 10 JIONI KWA MAWASILIANO ZAIDI UKIFIKA PIGA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja wa nchini Hispania alimchinja mkewe na kukiweka kichwa chake kwenye begi na kwenda nacho baa kunywa pombe huku akiwatambia marafiki zake kuwa amemchinja mkewe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
bei 5.5 milion, mazungumzo yapo, inatembea na iko katika hali nzuri, mawasiliano kwa atakayelihitaji, 0654633109, 0754632291, 0686716761
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Brand new Hyundai excavator available for hire, kwa atakaelihitaji mawasiliano ni 0654633109, 0754632291, 0686716761
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Taarifa ya Msiba. Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh, Ndugu wapenzi, marafiki na member wa JF, kwa majonzi makubwa sana nawataarifu msiba wa Baba yangu mzazi ulio tokea tarehe 31...
0 Reactions
142 Replies
14K Views
Habari yenu wanajamii, Napenda kuwaataarifu uwepo wa jenereta ndogo iitwayo Crank Box. Inafanya kazi(Operate) kwa teknolojia ya kuzungusha (Winding technology). Ukizungusha kwa muda wa dk 1...
0 Reactions
0 Replies
47K Views
Natafuta nyumba ya kununua mjini Tanga.Asante.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By next week nitatoka New York kuelekea SOUTHERN VIRGINIA Naomba msaada kwa yeyote aishie maeneo ya SOUTHERN VIRGINIA ama karibu. Nategemea kwenda huko kwa muda kuna project naenda kufanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mchakato Nimeambiwa nimshirikishe.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta RAV 4 milango mitano Iwe automatic Iliyopo yard na haijatumika bongo Bei maelewano
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Gari aina ya BMW, X5, toleo la mwaka 2001, rangi nyeusi, inauzwa. Ninaifahamu gari hii, ni ya rafiki yangu. Kama unataka ku-impress, ndiyo yenyewe. Ina nguvu, inatumia mafuta vizuri, engine yake...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…