Wana jf changamkieni hivi viwanja viko mbezi makabe vimepimwa vya bei nafuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf changamkieni hivi viwanja viko mbezi makabe vimepimwa vya bei nafuu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mpendaMaendeleo, Sep 26, 2010.

 1. mpendaMaendeleo

  mpendaMaendeleo JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  VIWANJA VIWANJA vipo MBEZI makabe/msakuzi vimepimwa .
  Bei 20x20 1.5m, 22x20 1.8m, 25x20 2m. Hakuna udalali

  (kwa taarifa zaidi piga: 0715 05 55 77 or 0769 05 55 77)
   
 2. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  unapenda maendeleo sana ndugu
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Niko Msakuzi,ni msakuzi ipi hiyo ambayo viwanja vimepimwa? Je kwa Ipelanya? Je upande wa shule ya Msingi Makamba? au kule kwa Mkapa? au kwa Masister? Tusaidie ni Msakuzi ipi unayozungumzia?
   
 4. a

  aristarik New Member

  #4
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is a good information kwa wana JF, we would like to have such kind of information. That is why wahenga walisema na tunawasuuport kuwa "INFORMATION IS POWER"

  Thanks
   
Loading...