Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

SYALI PRINTERS AND STATIONERS Syali printers and stationers tuko mikocheni kwa mwalimu, kwa mahitaji yako yote ya printing aina zote,steshenari na vifaa vya maofisini Bei zetu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
DIASPORA 3 LONDON, 6TH AND 7TH MAY 2011 The Tanzania High Commission in London in collaboration with the Tanzania Association in the UK (TA-UK) are organizing a Tanzania Diaspora...
1 Reactions
0 Replies
983 Views
We offer the following installation services at a very affordable prices: Security Cameras (CCTV) Electrical Fences Alarm Systems Motor Gates Security Lights Video phones We can also: Install...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimetengeneza magazine la burudani,fashion na burudani so kwa yeyote mwenye uwezo wa kuriprint na kulimiliki awasiliane nami kupitia email. ckundawa@gmail.com au cell no 0718656164 n 0715220004...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20x23 kinauzwa, kipo kitunda kivule tsh 2,500,000/=, maelewano yapo, pia kina matofali 600 nayauza kwa 550 kila moja. Wasiliana nami kwa simu namba 0713-357542.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
mashamba yenye ukubwa kuanzia hekari moja na kuendelea,yanapatikana/yanauzwa maeneo ya msolwa chalinze barabara ya morogoro,kwa mawasiliano piga na:0717012656
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tuna uza DVD-R, DVD+R, DVD-RW, DVD+RW NA CD-R, CD-RW, KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA. PIA TUNAUZA DVD COVER NA CD COVER ZA AINA MBALIMBALI MF 14MM,10MM, 7MM,10.5MM, 9MM. VILE VILE TUNA BIDHAA...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Bei Shilingi 530,000 Ofcoz bado naipenda simu yangu basi tu nauza kwa shida za dunia
0 Reactions
0 Replies
2K Views
VIWANJA MBEZI MAKABE\MSAKUZI VINAUZWA 25*20 2.5Mil, 22*20 2Mil, 20*20 1.8Mil. UMEME UPO CALL: 0715 055 577\0769 055 577
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu nauza Toyota harrier just imported from Japan in March KM;126,000 Year of manufacture;1999 CC;2200 Drive;automatic Price;Tshs 18,000,000/= Color;Beige Cream Nitaweka picha soon...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kuna nyumba inayopangishwa Kiseke Mwanza, ni nyumba ya PPF, ila imeongezwa zaidi, imepigwa plasta na rangi nzuri, ina vyumba vitatu masterbedroom na vingine viwili, ina gate na fence, ina...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana JF naombeni kwa yeyote anayejua sanduku la Barua la ofisi ya Afisa utamaduni wa Moshi ikiwezekana na no ya simu anisaidie plz.thankx
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF jamaa yangu amenipa taarifa kuwa Ujenzi wake wa nyumba ya vyumba nane imekamilika kwa anayetaka kupanga Nyumba hii ina 1-Maji 2-Umeme 3-Tank la kuifadhia maji 4-Choo cha kisasa viwili cha...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Natafuta nyumba ya kupanga ya kujitegemea iwe na vyumba viwili au vitatu..master na kawaida,sebule,dining, jiko na parking mitaa ya kinondoni,mikochen,kijitonyama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
salama wakuu? Kuna mkuu mmoja alipost thread kuhus kuexchange muviz. Namshukuru kwan ili weza kunikutanisha na jamaa flan natukaweza kuexchange. Mimi nina muvi lyk 428 kwenye my external...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF Heshima mbele, I appreciate all Member in JF, Wakuu nataka kuwekeza Pale KEKO MACHUNGWA kwa anayejua nyumba inauzwa na bei gani chajuu nitampa. tuwasiliane hapa. nataka kujenga Hostel ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF naomba munisaidie, natafuta nyumba ya kununua au kiwanja kizuri maeneo ya Arusha mjini na katika viunga vyake. Nina 15ml kwa ajili ya kununua nyumba hiyo, (msinikebehi ndo uwezo wangu)...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Mbezi Africana, Goig, samaki na the rest of Mbezi. Iwe nyumba ya kujitegemea(si ya kushea) Vyumba 2 hadi vitatu, Maji muhimu, parking. master, sebule, dining...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa mwenye muvi latest naomba nicopy
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzee wetu mpendwa Hemed Mmbaga amefariki dunia juzi hospital ya KCMC alikuwa akitibiwa ugonjwa wa moyo.Mzee Mbaga alikuwa mkuu wa magereza mkoa wa Arusha pia kati ya mwaka 1980 - 1985 alikuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom