Crank box - jenereta ndogo isiyotumia mafuta ya taa, betri wala umeme wa jua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Crank box - jenereta ndogo isiyotumia mafuta ya taa, betri wala umeme wa jua

Discussion in 'Matangazo madogo' started by futikamba, Sep 24, 2010.

 1. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari yenu wanajamii,
  Roll Up Banners.JPG

  Napenda kuwaataarifu uwepo wa jenereta ndogo iitwayo Crank Box.
  Inafanya kazi(Operate) kwa teknolojia ya kuzungusha (Winding technology).
  Ukizungusha kwa muda wa dk 1 Crank Box ina uwezo wa kuwasha taa 3 za aina ya LED kwa mtiririko ufuatao.

  1. Masaa 2 na zaidi kwa taa 1
  2. Saa 1.30 kwa taa 2
  3. Saa moja kwa taa 3

  Faida zake ni nyingi tu!!
  1. Haitumii mafuta ya taa/petroli/diesel
  2. Haitumii betri
  3. Haitumii umeme wa jua/tanesco
  4. Ni nzuri kwa utunzaji wa mazingira
  5. Haina gharama za matumizi &
  6. Ni ndogo na inabebeka
  7. Tegemeo la maisha ni zaidi ya miaka 10
  8. Dhamana ya mwaka 1

  Matumizi. Crank Box inaweza kutumika:-
  1. Mashuleni kwa kusomea
  2. Makambini
  3. Nyumba za vijijini &
  4. Safarini.

  Zaidi ya yote, inauzwa TZS 15,000/= tu!! Faidika na bei hii ya Promosheni.
  Mwisho wa promosheni ni tar 30.11.2010.
  Bidhaa ni chache sana, weka order yako mapema
  PIA TUNATAFUTA MAWAKA NCHINI KOTE. KWA ANAYETAKA TUWASILIANE!!

  Wasiliana nasi - 0715 997688/ 0785 997688
  Au tutembelee Mbezi Beach - Samaki wabichi
  Karibia na Hoteli ya Gates of Paradise.

  TANZANIA HOME POWER SYSTEMS
  Karibuni sana, Mteja kwetu ni mfalme!!!
   
Loading...