Nyumba inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by lubazi, Sep 27, 2010.

 1. l

  lubazi Senior Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NYUMBA NA KIWANJA CHENYE UKUBWA WA EKA 1 VINAUZWA MAENEO YA MBEZI BEACH KARIBU NA SHULE YA GREEN ACRE .
  ENEO LINA USALAMA WA KUTOSHA.
  KWA WANAOHITAJI NITUMIE EMAIL UNITAJIE NAMBA YAKO YA SIMU NITAKUTAFUTA.

  EMAIL YANGU: lubaziemmanuel@yahoo.com
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Huko sio kule alikouwawa yule Professor
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Weka picha yake hapa ili tuone!! Pia weka details za kutosha, je kiwanja kina hati au laa? Biashara hujiuza kwa matangazo mazuri broo.
   
 4. l

  lubazi Senior Member

  #4
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  marekebisho: ni esacs academy sio green acres
  kiwanja kina hati ya makazi
   
 5. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Weka bei basi ili kama hatuna uwezo tusikutafute
   
 6. S

  Somoleo Member

  #6
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu:

  Ni vema ukaweke ukubwa wa kiwanja, bei yake, kama kina hati, umabli toka barabara kuu nk

  Ili utafutwe na wachache!
   
Loading...