Precission Air, naomba kuuliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precission Air, naomba kuuliza

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbu, Sep 22, 2010.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Kwa anayejua, anisaidie (One-Way) fares za precission air toka miji ya;

  Dar - Zbar

  Zbar - Arusha

  Arusha - Dar

  ...Wanayo website lakini haijakamilika,
  Natanguliza shukrani.
   
 2. J

  Jafar JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Arusha - Dar ni TZS 180,000 (return zidisha mara 2)
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jomba maelezo yako si kweli...!Nijuavyo mimi ni kwamba nauli zinatofautiana kutokana na unavyofanya booking mapema au kwa kuchelewa, au last minute booking!....Ukifanya booking, say 3 days prior to travelling Dar-Arusha utalipa something like ths 206,000/=,..na jinsi unavyosogeza booking kuja kwenye d-day, nauli inapanda, lakini all in all haizidi 215,000/=.....return ticket ni 348,000/=....Ahsante!
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hapa ni practical exiperience zaidi!
  jombi vipi hivi uliuza simu?:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
   
 5. J

  Jafar JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kweli wewe ni Paka !!! Mimi ndie niliyesafari na tiketi/risiti bado ninayo mkononi na ndio niliyotumia kufanya reference - halafu unasema mimi muongo. Haya bwana mkweli wewe.
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  Shukuran sana wakuu.

  Labda niwasubirie na wale waliofanya routes za
  Dar - Zanzibar,
  Zanzibar - Arusha

  kwa hiyo Precission Air. I wish kwenye website yao wangetuwekea info zote hizi.
  Online booking inasaidia sana kuliko kuhangaika mpaka maofisini, waliopo nje ya nchi inakuwa ni usumbufu.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwa uzoefu huwa hakuna tofauti ya nauli kati ya:
  Dar-Arusha na
  Zanzibar-Arusha!
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah gharama za ndege Bongo bado zipo juu sana watu wa hali ya chini tutaendelea kuzisikia kwenye bomba.
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ... acha tu. wanadai ni gharama za uendeshaji. Mimi nadhani inasababishwa na upungufu tu wa ushindani.
  Kuna shirika jipya fly540, inaelekea wao wanatoza nauli nafuu kidogo. Otherwise itabidi wengi waendelee na
  usafiri wa ndege za ardhini, kina Scandinavia Express, Buffalo Coaches etc...
  Kwa wenye haraka, 'kujikuna' muhimu.

  Binafsi ninahitaji hizi infos sababu nina shughuli muhimu sana kwenye routes hizo, ndio maana inabidi kupanga bajeti nzuri kulingana na wakati mdogo niliokuwa nao.
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nakupa majibu juu ya hawa jamaa in no tym, bahati nzuri nina full contact za Air-Ticketers wao!
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yaani mkuu hizo gharama unaona bora uruke Dubai na kurudi inakuwa cheap kulinganisha na umbali lakini unaruka hapa unakaa saa 1 angani bei hiyooo maumivu matupu bora kuchana boda kwa usafiri wa ardhi ukachukua Dar Express au huko Zenji ukapanda Boat za Azam nazo zipo fasta
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Znz- Arusha (Fly540), ni $ 147, AU tSHS 220,000/=
  Return ticket ni thsh 440,000/=
  Proven info!
  Jipange sawasawa Mkuu!
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Hehe! ukihesabu maumivu mzee utakuwa unajikalifisha nafsi, maisha yenyewe mafupi haya, ha ha ha...
  yap, Dar- Zbar boat za Bakhressa zina unafuu, nadhani sasa ni 25,000/= pp
  unapigwa na wimbi pale msasani kisha chumbe,...saa moja na nusu ushafika.


  Lakini masaa saba Dar-Arusha? nitakuwa nachelewa bana. Inabidi kina precission watutafutie special offers low season sasa!

  ...pheeewww! bora salama.
  Thanks again PJ.
   
 16. J

  JohnShao Member

  #16
  Sep 22, 2010
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninavyowafahamu mimi wana On-Line-Booking. Ukishawaambia unataka flight ipi, ya kwenda wapi na lini wanakujibu haraka tu. Wanakupa booking ya muda, bei, namna ya kulipa na deadline ya kulipa. Kama hujalipa by the deadline waliyokupa wanauza nafasi yako. Hawawezi kuweka nauli kwenye website kwa kuwa zinatofautiana kwa kutegemea flight na siku, jinsi ulivyo book na mambo mengine. Ndivyo usafiri wa ndege ulivyo duniani kote.
   
 17. TingTing

  TingTing Member

  #17
  Sep 22, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Kwenye soko la foreign currency nadhani huwa linabadilika kama siyo kwa siku basi kila baada ya saa kadhaa. Sielewi iweje eti precision washindwe kuweka hii online eti kwa kusema nauli huwa zinabadilika. Ukiingia kwenye website ya Kenya Airways au Fly540 unaweza kupata fare hizo online ukienda kwenda search are na kujaza vipengele husika. Kama ni kubadilisha si ni ku-update tu kwenye site. Hivi kuna ulazima kweli wa kuwapigia simu, Je, kama simu zao zimezidiwa kama hizi customer service centers za makampuni ya simu! Ni kutotilia maanani tu katika suala zima la technology na namna ya kuwarahisishia watu huduma bila usumbufu.
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...poa kaka, nipatie hiyo link yao tofauti na hii; Precision Air Services Limited
  ambayo hujibu haraka.

  ...sikubaliani nawe kwa kauli yako hapo juu. Labda unazungumzia ATC na Precission Air tu, kwa Tz hata fly540 wameweka fares zao.
   
 19. O

  Ogah JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ............Dar Arusha ni maili ngapi................kuna service providers wangapi............demand ya passengers ikoje............Yes kwa vipato vyetu vya ki-CCM............hiyo ni bei juu sana
   
 20. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  No wonder majibu yamekauka humu!
   
Loading...