Ninauza ice cream machine (model taylor )kutoka uk ziko 3 ni zakileo angalia picha

farouk10

New Member
Sep 27, 2010
4
0
A/alaykum kwa yoyote yule mwenye kutaka kununua ice cream machine ninazo 3 kutoka uk model taylor manufacture usa ninazo katika godown langu zanzibar pamoja na gari kabila gulf vw kwa maelezo zaidi wasiliana nami farouk mmanga 0777436842/0777843578 381128173_o.jpg
 
A/alaykum kwa yoyote yule mwenye kutaka kununua ice cream machine ninazo 3 kutoka uk model taylor manufacture usa ninazo katika godown langu zanzibar pamoja na gari kabila gulf vw kwa maelezo zaidi wasiliana nami farouk mmanga 0777436842/0777843578View attachment 14333

Karibu sana JF mkuu Farouk!
Hapa JF watu hukutana na kubadilishana mawazo, ujuzi na hata kuuziana ama kupeana vitu mbalimbali. Naomba nikunong'oneze kitu ndugu yangu, watu wa humu ndani huwa wanapenda kupata details za vitu ikiwamo pamoja na bei kabla hajaingia gharama kumpigia muuzaji, si unajua ma-great thinkers. Ila mm nina imani utapata wateja kwa hizo bidhaa zako. Mm binafsi nahitaji pikipiki moja kubwa sana kama baja hv yenye kifua cha kutosha kwa ajili ya kupandia milimani!..unaweza kuwa nazo? kama unazo hebu niwekee picha pamoja na details na bei hapa!
 
Back
Top Bottom