Natafuta Rav 4

Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
103
Natafuta RAV 4 milango mitano

Iwe automatic

Iliyopo yard na haijatumika bongo

Bei maelewano
 
haijatumika bongo? waandie hao wajapani sio huku:confused2:

Kiber unantaka kunichinjia baharini? Mwenzio hela yenyewe ya kudunduliza sasa ukinipataia kimeo utaniua bure kwa presha.
Ok hata kama imetumika iwe katika hali nzuri sana
 
Mkuu unahitaji RAV 4 ya mwaka gani? Imetembea KM au Maili ngapi?
 
tuambie mwaka aina ya rav 4 na iwe na imetembea kiasi gani niPM kuna jamaa yangu anauza yake nitakufahamisha utampataje!
 
tuambie mwaka aina ya rav 4 na iwe na imetembea kiasi gani niPM kuna jamaa yangu anauza yake nitakufahamisha utampataje!
Namimi natafuta ila nimeweka thread ila mimi natafuta ya mwaka 1999-2000 km isizidi laki na milion7.Ila kama kuna mwenye nayo anijulishe kwa kunipm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom