Ndugu zangu rejeeni somo tangulizi hapo juu mimi ninauza Pikipiki yangu aina ya CT 100 Bajaj ipo kwenye hali nzuri lengo ni kuachana na matumizi ya pkpk hivyo nipo tayari kwa mazungumzo wasiliana...
Nyumba iliyopo Mbezi Luisi karibu na Mbezi High School inapangishwa. Nyumba ina Sebule, chumba cha kulala na stoo. Kodi ni shilingi 100,000/= kwa mwezi. Malipo ni kwa mwaka. Kwa mawasiliano...
Ndg zanga jana nilikwenda Mlimani City nikapaki gari yangu pale na kuacha baadhi ya vitu ndani ya gari kama laptop na hard disk GB 500 ikiwa na mambo muhimu sana kwa bahati mbaya nikaingia ndani...
Ninahitaji Toyota Kluger Ikipatatikana ya 2002-2003 sio mbaya...Nina budget ya 20M Tsh.
Mwenye ujuzi naweza pata wapi ani PM....Naweza ongeza ikafika 21M...Kama budget hiyo ni ndogo.
Buswelu
Toyota Rav4,1999 year of manufacture
3s FE engine 1988cc register in 2009 one owner.
full loaded AC,sports Rim,Silver color, 112,000km 5doors,CD radio kenwood and nice speakers.
price 9.5M...
gari nauza aina Subaru Forester Year 1999, Km 105,000, 2.0cc, 4WD, Automatic, Turbocharge, good condition, small scruch and dent, kutoka Japan ilikua na KM88,000 so, almost 15000km nimetumia...
habari ya subuhu wanajamii wenzangu!
Naomba mnisaidie mawazo, je nyumba yenye thaman ya mil 40, unaweza ukapata mkopo wa kiasi gani bank kwa kutumia hati kama security!
Watanzania mlio Dodoma kama una nyumba unapangisha maeneo ya Area C au D dodoma please usichelewe! Sifa za nyumba
1. Kuanzia vyumba vitatu
2. Maji na umeme viwepo
3. fee kati ya laki 2 hadi 3.
4...
Wana JF wenzangu, Kama kuna muhitaji wa shamba enel la ekari moja liko Kibaha Karibu nakwa Mathias, lina michungwa michache na miti kadhaa ya mitiki. Maji ya bomba kuu hupitia mpakano mwake, liko...
Wapendwa napenda kutoa pole kwa nduguwa ndugu yetu alietutoka majuzi uko india akiwa matibabu
bw osiah rajabu..ni jiran yangu kijana aliekutana na miale ama mapigo ya dunia akiwa mdogo sana ndan...
Wadau inahitajika Yard ya kuuzia magari( car show room) yenye uwezo wa kuhifadhi magari yasiyopungua 200. Pia iwe pembeni ya main roads ili bidhaa zionekane kiurahisi kwa watu wanaotumia barabara...