Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Mar 21, 2011 #1 Tafadhari wakuu mwenye kuwa na habari au kuwa nacho ani PM, Sifa kiwe karibu na ofisi, au shule! Tafadhari wakuu naomba msaada wenu!
Tafadhari wakuu mwenye kuwa na habari au kuwa nacho ani PM, Sifa kiwe karibu na ofisi, au shule! Tafadhari wakuu naomba msaada wenu!
Easymutant R I P Joined Jun 3, 2010 Posts 2,564 Reaction score 1,135 Mar 21, 2011 #3 Honge una hangover!? maana kama ni popote basi! jitayarishe kupata vituko unaweza kuambiwa kijiji ambacho hujawahi fikiria...
Honge una hangover!? maana kama ni popote basi! jitayarishe kupata vituko unaweza kuambiwa kijiji ambacho hujawahi fikiria...
S Strategizt Senior Member Joined Oct 16, 2009 Posts 179 Reaction score 34 Mar 21, 2011 #4 shule kwa maana ya primary au chuo kikuu??? na je unataka chumba au akipatikana wa kukuuzia stationary ambayo iko kazini uko tayari kununua?????
shule kwa maana ya primary au chuo kikuu??? na je unataka chumba au akipatikana wa kukuuzia stationary ambayo iko kazini uko tayari kununua?????
Rich Dad JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 748 Reaction score 138 Mar 21, 2011 #5 Uko maeneo gani mkuu? au ni sehemu yeyote Tanzania???
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Mar 21, 2011 Thread starter #6 Rich Dad said: Uko maeneo gani mkuu? au ni sehemu yeyote Tanzania??? Click to expand... Dar sorry sana wakuu location yake ni Dar!
Rich Dad said: Uko maeneo gani mkuu? au ni sehemu yeyote Tanzania??? Click to expand... Dar sorry sana wakuu location yake ni Dar!
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Mar 21, 2011 Thread starter #7 Easymutant said: Honge una hangover!? maana kama ni popote basi! jitayarishe kupata vituko unaweza kuambiwa kijiji ambacho hujawahi fikiria... Click to expand... Sorry mkuu ni dar! si unajua mkuu j3 inavituko kweli!
Easymutant said: Honge una hangover!? maana kama ni popote basi! jitayarishe kupata vituko unaweza kuambiwa kijiji ambacho hujawahi fikiria... Click to expand... Sorry mkuu ni dar! si unajua mkuu j3 inavituko kweli!
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Mar 21, 2011 Thread starter #8 Strategizt said: shule kwa maana ya primary au chuo kikuu??? na je unataka chumba au akipatikana wa kukuuzia stationary ambayo iko kazini uko tayari kununua????? Click to expand... ninahitaji chumba mkuu, chuo au secondary mkuu!
Strategizt said: shule kwa maana ya primary au chuo kikuu??? na je unataka chumba au akipatikana wa kukuuzia stationary ambayo iko kazini uko tayari kununua????? Click to expand... ninahitaji chumba mkuu, chuo au secondary mkuu!