Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Price: TZS 550,000 as Rent per Month Address: Ununio Beach / Boko Basi, Kunduchi Dar es Salaam Property Profile Property Type: House Property Style: Detached Bedroom(s): 4 Bathroom(s): 2...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Wakuu, hebu nijuzeni ni wapi naweza kwenda kuna waalimu wazuri wa advanced MS EXCEL? Msaada wenu tafadhali
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamii naomben mnisaidie natafuta housegel toka sehemu yoyote tanzania.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari yako msomaji, Naomba msaada, natafuta orodha ya radio mpya zitakazo anza kurusha matangazo yake/ambazo zimeanza kurusha matangazo yake 2011. Natafuta majina na contact zake. Naamin hapa Jf...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Poleni kwa kazi wandugu, Napenda kutambulisha kwenu firm yetu (Interim Hospitality Consultancy) inayotoa ushauri katika Hotel, Lodges, Camps and Tours. We do a lot from project conceptualization...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamii kwa yeyote ambaye anahitaji kiwanja maeneo ya Kigamboni Dege, tuwasiliane kupitia namba 0767 616 800 au 0712 800 616 Upande wa magharibi bahari ipo umbali wa KM 1 na nusu Upande...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Eka 3 zinauzwa Kibaha kongowe njia ya kuelekea Soga,eneo limeanzia barabarani umeme upo maji.eneo lipo km 2 toka old Morogoro Road Bei Mil 15. Hapajapimwa pazuri sana. Call 0754383174.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Eneo linauzwa Kibaha kati ya Tanita na kwa Mathias, eneolipoupande wa kushoto kuelea Morogoro. Eneolipo mita 100 toka Morogoro Road. Panafaa kwa Yadi,kiwanda. Kujenga shule. umeme Maji vipo Piga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Haijakamilika. Ina msingi wa ghorofa tatu. ground floor vyumba sita self contained. Ghorofa ya kwanza imekusudiwa kujengwa vumba saba na ghorofa ya pili imekusudiwa kujengwa vyumba saba. Jengo...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Nauza toyota spasio ya mwaka 2000 imetembea km 95000. Ipo katika hali nzuri kama mpya! mtanisamehe maana sina sina picha yake. ipo morogoro. bei 7m!!:confused2: nawakilisha.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba mbili zilizokaribiana zenye vyumba jumla8 zipo karibu sana na Transit Motel. zinauzwa kwa pamoja.Bei 50milion tsh.kwa mawasiliano 0783207102.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mwenye kuhitaji shamba lenye ukubwa wa acre nne linauzwa maeneo ya mbutu kigamboni ( kilomita 25 kutoka ferry) awasiliane na jamaa mwenye namba +255718381814.Shamba lipo nje ya mradi wa mji mpya.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari yako msomaji. Home Radio Ministry inakuletea huduma zifuatazo:- 1. Tunasaidia radio mpya zinazoanzishwa kwa kuandaa vipindi vya nguvu, programming ya wafanyakazi kupewa mafunzo. 2...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Inahitajika nyumba ya kupanga ambayo itakuwa maeneo ya Mwenge, Survey, Makongo na viunga vyake. Yaani iwe maeneo ya Mwenge au karibu na Mwenge. Iwe na chumba Master (Choo na bafu ndani ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Two separated houses in one compound are for rent. Located at Whitesands near by giraffe or Beach comber Hotel, or Jagwani Sea Breeze. A beautiful family home of three bedrooms. Features...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
pliz kwa yeyote anaeweza kussuply au kuniagizia mahali ambapo ntaipata kirahisi anielekeze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kina ukubwa wa eka 22. Kimepimwa na kina Hati miliki.Huduma muhimu za kijamii kama umeme na maji zinapatikana.Bei shs 250mil. Maelewano yapo. Kwa maelezo piga simu 0717114409
0 Reactions
1 Replies
1K Views
waungwa baada ya kunisaidia kupata laptop sasa naomba tena msaada wenu kupata decoder tajwa hapo na kwa gharama gani.natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyumba kubwa ya ghorofa moja vyumba 4 vya kulala master bedroom 1 na min library na imezungushiwa ukuta wa matofali inauzwa iko eneo la kwa mrefu karibu na ceti garden iko umbali wa kama mt.150...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mivumoni ipo mbele baada ya Wazo Hill. Vipo viwanja nane vyenye ukubwa wa mita 30 kwa 25. Kila kimoja kinauzwa sh 6.5 mil.Kwa mawasiliano. Piga simu 0717114409
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom