Mkopo wa 5 mil

Sep 23, 2011
15
1
Wana JF,
Nakuja kwenu nikomba mnisaidie Mtanzania na mwanaJF mwenzenu mkopo WA Mil 5, hata kwa riba ambapo nitaanza kulipa baada ya mwezi mmoja. Nina gari na ia nyumba. Gari naweza kuacha kadi, ila nyumba haina hati, lakini tunaweza kuandikishana kwa mjumbe.

Naombeni msaada wenu, nio wakati mgumu.

Natikana kwa namba O763 8945O8

natanguliza shukrani.
 

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,351
804
We kijana nenda acces bank,watakusaidia or nmb,watajiuokeza matapeli chunga.
 

YoungCorporate

JF-Expert Member
Apr 30, 2010
392
112
kwanini usiende bank au kwenye credit agency kama finca, blue finance, bayport etc amabao wamebobea katika masuala hayo! Mtu binafsi ni ngumu sana kukupa mkopo kama hamjuani maana risk ni kubwa sana!
 
Sep 23, 2011
15
1
M Pesa asante kwa msaada wako, bhati mbaya taaluma ya ku PM sina , naomba nitumie ujumbe kwenye simu O763 8945O8. Nashukuru sana, asante Pia kwa ushauri wa wengine, tatizo huko mliko nielekeza inaweza kuchukua muda mrefu na kunaweza kuwa na comlications nyingi sana.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom