Shamba/viwanja vinauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,079
251
Shamba lenye ukubwa wa ekari mbili linauzwa. Shamba hilo lipo katika kijiji cha Kerege Matumbi, kuelekea njia iendayo katika kijiji cha kilemela. Ni kilomita moja toka katika barabara ya lami iendayo Makao Makuu ya Wilaya ya Bagamoyo. Ni karibu na kituo cha uwekezaji cha EPZA kunakoanza kujengwa viwanda sasa. Kuna barabara nzuri na bonba la maji ya Dawasco limepita jirani. Lina mimea michache ya miti ya asili kama vile Mipingo n.k Shamba hili limegawanywa katika maeneo madogo madogo kadiri ya mahitaji ya mtu. Barabara za kuingilia kila eneo kwa gari zipo. Kwa anayehitaji eneo lote au sehemu ya shamba hilo awasiliane name kupitia aliyekupa maelekezo haya. Bei tshs 2mil mpaka 3mil kwa kipande .

Kwa ufafanuzi piga simu 07171114409.

NOTE: Kerege ni kijiji cha tatu kutoka Bunju.
 

Attachments

 • IMG_0362.jpg
  IMG_0362.jpg
  97.4 KB · Views: 94
 • IMG_0366.jpg
  IMG_0366.jpg
  99.5 KB · Views: 92
 • IMG_0363.jpg
  IMG_0363.jpg
  79.8 KB · Views: 80
 • IMG_0360.jpg
  IMG_0360.jpg
  88.4 KB · Views: 73
 • IMG_0367.jpg
  IMG_0367.jpg
  84.3 KB · Views: 73

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,616
3,051
Shamba lenye ukubwa wa ekari mbili linauzwa. Shamba hilo lipo katika kijiji cha Kerege Matumbi, kuelekea njia iendayo katika kijiji cha kilemela. Ni kilomita moja toka katika barabara ya lami iendayo Makao Makuu ya Wilaya ya Bagamoyo. Ni karibu na kituo cha uwekezaji cha EPZA kunakoanza kujengwa viwanda sasa. Kuna barabara nzuri na bonba la maji ya Dawasco limepita jirani. Lina mimea michache ya miti ya asili kama vile Mipingo n.k Shamba hili limegawanywa katika maeneo madogo madogo kadiri ya mahitaji ya mtu. Barabara za kuingilia kila eneo kwa gari zipo. Kwa anayehitaji eneo lote au sehemu ya shamba hilo awasiliane name kupitia aliyekupa maelekezo haya. Bei tshs 2mil mpaka 3mil kwa kipande.

Kwa ufafanuzi piga simu 07171114409.

NOTE: Kerege ni kijiji cha tatu kutoka Bunju.
cha size gani?? 2 milion
 

PatPending

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
490
80
Angalizo tu: Ni vyema kuexercise extreme caution kwenye ununuzi wa maeneo Kerege na wilaya nzima ya Bagamoyo kwa ujumla. Watu wengi sana wametapeliwa fedha nyingi maeneo hayo ya Kerege, sana sana Matumbi na Kiwete. Kwa ufahamu wangu wa eneo hilo, vipande vyingi vimeshapimwa na hata mawe huwa yapo (ingawa wavamizi huyang'oa).

Ni vizuri kuanisha kama eneo hilo limepimwa pamoja na hali ya umiliki kwa sasa. Vile vile pia, hiyo bei ya kipande ni ya eneo la ukubwa gani? Kerege imekuwa ni ghali sana. Haupati ekari chini ya milioni angalau 6-7
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,445
Kitomai, it is high time we stop this nonsense ya kuuza vipande vya ardhi

kama mtu anataka kuuza viwanja apime, aende ardhi apate plan approval

tunatengeza slums na kusimarket

aisee
 

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,271
669
maeneo ya bagamoyo kamwe sitonunua kiwanja nimetapeliwa live

watu kule wanatumia uchawi wakati naenda kununua akili yangu ni kama ilikuwa haifanyi kazi
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,866
10,375
Kazi ipo hapo ukikimbilia kununua kiwanja bagamoyo yoote unajitafutia uwe unashinda mahakamani bure kwa miaaka haya 10 maana viwanja vyote anzia bunju hadi bagamoyo vimeshauzwa zaidi maara 4!
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,835
25,559
Nimeshaacha heka mbili hivihivi maeneo ya Fukayosi.
Yale maeneo sio kabisa yale!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom