Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wana jamii forums ninatafuta generator used below 10KVA kwa matumizi ya nyumbani , lisiwe na matumizi makubwa ya mafuta na liwe rahisi kufanya service haya ya china nimenunua mara 2...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kituo cha mafuta kinauzwa Kibaha Kongowe kinaeneo kubwa la kutosha kabisa bei Milion 450. 0754383174./0713383174. Email, hamad702000@yahoo.com
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Duka, whole sale linauzwa (as a going conern). Pango kwa mwezi ni lakini mbili na limelipwa hadi April 2012, liko sehemu nzuri sana. Sababu ya kuuza: kukosekana usimamizi wa uhakika, pls call...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana wa Mungu, Bwana Yesu Asifiwe, Jina lake lihidimiwe. AGENT ANATAKIWA HARAKA KUFANYA KAZI HII NATAFUTA MSICHANA WA KAZI KUTOKA MKOA WOWOTE, ASIWE AMEFANYA KAZI SEHEMU ZA MUJINI, UMRI USISIDI...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu naweza kupata wapi hii kitu kwa Dar? ? Issey Miyake L'Eau Bleue D'Issey Pour Homme (Blue Water) Eau de Toilette Spray
0 Reactions
10 Replies
2K Views
8 Acres Surveyed for Sale at Kibaha Pwani, pangan Road. Price @acre Tshs 4 Milions. CALL 0754 383174. Location; Kibaha Pwani.
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Salaam Zenu. Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa iko Boko .Kodi ni 550,000 kwa mwaka mapatano yapo.Imezungushwa ukuta ,ina parking ya 4 cars.Ina seating Room, Servants Shed, Vyoo 3. Jiko kubwa la...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
THE BUSINESS PRESENTATION &NETWORKING EVENT. Life is tough and that's why everyone needs to learn some Business and enterprising skills apart from employment. For only TSHS 2000/=You will be able...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa manispaa ya Arusha maeneo ya Sombetini karibu na yard ya pili ya Simba Trucking Company na pia karibu na Milano garage. Eneo hili lipo karibu kabisa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba msaada wenu, wapi hapa Dar naweza kupata inverter ambayo angalau itaniwezesha kuwasha na kucharge laptop tu ili nikabiliane na mgao wa umeme, na pia nauliza kuwa battery ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
IPO CHANGOMBE, KARIBU NA MADUKA MAWILI NA KONA YA BARABARA YA KUELEKEA UKUMBI WA SIGARA<BR>INATAZAMA BARABARA YA CHANGOMBE.<BR>INAFAA KWA BIASHARA MBALI MBALI KAMA DUKA LA KAWAIDA, DUKA LA DAWA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza monitor ya computer aina ya dell kwa anayehitaji npm. Ipo sinza kwa remi dsm. Haina shida yoyote ni imetumika kidogo tu. Bei ni shilingi tshs 90,000/=
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau kuna jamaa anatakaa kuniuzia hii saa lakini nimejaribu kutafuta bei zake kwenye Amazon, e bay na kwenye tovuti ya Louis Arden sijapata bei zake ni kitu nimekipenda lakini sijapata kujua bei...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye laptop Compaq Presario cq 56, naihitaji haraka
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naweza nikaweka win xp,7 and ubuntu kwenye laptop kwa wakati mmoja? Natumia procedure zip?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Residential Building Services Limited (RBS) a turn-key provider of integrated commercial building and residential building development solutions. RBS specializes in both residential and commercial...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
House for Rent in Kunduchi | 4 Bedroom House in Kunduchi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kama unajua nijulishe
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari! Mdau yeyote mwenye taarifa ya nyumba ya kupanga maeneo ya Kimara,Ubungo au Mwenge. Iwe na sifa hizi: - Vyumba vya kulala 2 au 3 (+ 1 Master bedroom); Sebule, dining, public toilet...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hope wote mpo wazima. Natafuta nyumba ya kupanga, lakini iwe maeneo ya kariakoo, but then kuna dalali mmoja kanikatisha tamaa kaniambia sintopata chini ya $600 mpaka $700 tena in dollars na hiyo...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Back
Top Bottom