Nahitaji kiwanja

charndams

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
436
128
wakuu wangu, naomba msaada wa kupata kiwanja cha kuishi. sehemu yenyewe iwe na sifa zifuatazo
1. iwe sehemu yenye climate nzuri ( mvua hazikosekani)
2. udongo wenye rotuba ( natazamia kufanya kilimo na ufugaji-zero grazing)
3. kuwe ni inje ya miji mikubwa
4. usafari mzuri ( barabara)
5. hospitali inapatikana kwa karibu
6. usalama wa kutosha
7. maji na umeme
nitashukuru sana kwa mchango wenu

Handeni - Kwamatuku kutakufaa?

Huku Kaitaba au kuna sehemu nzuri sana yenye sifa kama hizo. Kama Vipi niPM. Kuna jamaa yangu naye kanambia kuna viwanja vizuri sana maeneo ya Eldoreti....

unazungumzia Eldoret gani mkuu?? unaweza kukisia bei mkuu wangu. kwa kweli nahitaji na niko damn serious

wakuu wangu, naomba msaada wa kupata kiwanja cha kuishi. sehemu yenyewe iwe na sifa zifuatazo

1. iwe sehemu yenye climate nzuri ( mvua hazikosekani)

2. udongo wenye rotuba ( natazamia kufanya kilimo na ufugaji-zero grazing)

3. kuwe ni inje ya miji mikubwa

4. usafari mzuri ( barabara)

5. hospitali inapatikana kwa karibu

6. usalama wa kutosha

7. maji na umeme

nitashukuru sana kwa mchango wenu

Bagamoyo vipi,utaipenda????

ndugu kilindi kunakufaa sana ardhi ipo shwari jitahidi ufanye mawasiliano. ekati moja tsh 150,000

Back
Top Bottom