Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari ndugu Kama una taarifa kuhusu zinapopatikana banner printers naomba unitaarifu juu ya Specifications on 1.Brand 2.Capacity na 3.Bei Pamoja na hayo mahali zinapopatikana itakuwa jambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza brand New DELL laptop. Laptop hii haijatumika kabisa na ina warrant. Maelezo ya kiitaalamu ya hii laptop ni kama ifuatavyo; Brand: DELL INSPIRON Model: N4010 Display Size: 14 inches...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wana JF Nina Puppies, GERMAN SHEPHERD wanauzwa kwa bei nafuu. Kwa sasa wamebaki wachache, kwa anayehitaji tafadhali nitafute kwa namba hizi:- +255 755 338 994 +255 715 329 994 Uliza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau nina camera aina ya SAMSUNG, inanisumbua, nipo mikocheni B, kwa warioba naomba ushauri wa wapi karibu naweza kupata fundi mzuri wa kutengeneza. Kiufupi ni kwamba ile cylinder ya flash...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari za leo wadau , tunahitaji magari 2 ya kukodi kwa atleast 4 weeks , tu PM with details .
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta gari NOAH, pesa ipo kamili, nina bajeti haizidi Mil 9. Mwenye nayo apige 0784 419030
0 Reactions
3 Replies
972 Views
Wasalaam wadau wote, Nahitaji kununua electronics flaniflani kutoka ebay.com, lakini kila venda nayemcheki anasema hafanyi international shipment !! lakini kwa vitu kama DVDs, ama vitabu ni...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
for more information please call 0654-633109
0 Reactions
0 Replies
1K Views
.karachi port
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi! Natafuta fire extinguishers CO2 kama tano hivi hapa DSM zenye ujazo wa 50 kgs ambazo zinakuwa fixed kwenye troley yenye matairi matatu inayoweza kusukumwa na mtu mmoja. Hizi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna Jamaa ananahitaji Laptop Aina yoyote kati ya:- Dell Toshiba HP Specifications:- Iwe na:- Processor: Pentium n-series (Intel inside), GHz 2.00 na kuendelea Hard disk: 80 GB na kuendelea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana JF.Natafutat PC ya kununua.Iwe na 40gb HDD,ram 512.Pesa niliyonayo ni shilini laki mbili!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau natumai mpo fit, nataka kumfungua kaofisi kadogo shida yangu ni Photocopy ya Canon IR 2018, kuna mdau anaweza nielekeza mahali nitapata kwa bei nzuri? naomba bei ya mpya na used, asanteni
0 Reactions
8 Replies
4K Views
located at bagamoyo mapinga about 5 km from bagamoyo road. Plot/farm size about 54 h.a. Price tshs 1 billion. For more information call +255784225000
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa,sakina arusha,karibu na arurha meat na 22 kwa 26. Bei ml 8.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF Heshima mbele Naomba kama mwenye kujua nataka ninunue IPHONE 4 ya ukweli kwa Dola 700. Je anayejua? NAHITAJI HARAKA NIMEPATA KAZI MAJUU NATAKA KWENDA NAYO WAKUU
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Located at Kimara Temboni about a kilometer from Morogoro Road. 4 bedrooms ( one ensuite), sitting room, dinning room, kitchen, store, plot size 2125 sqm, fenced, It has a clean tittle deed. Price...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauza modem za TTCL kwa elfu 20 tu. Ni special kwa walio dodoma. Wahi zipo chache. Kuweka oda 2ma sms kwenda 0783599456
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wamarekani wanakwambia u can run but u can never hide,utakimbia kimbia weee...alakini mwisho wake watakukamata tu.hawajamaa ni noma,huyu osama walishajua alipokua muda mrefu alakini walikua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni DELL Latitude D630, imeibwa Mabibo Hostel, jana majira ya saa 1:30 usiku. Taarifa ya upotevu ipo Kituo cha Polisi wasaidizi Mabibo Hostel. Yeyote atakayepata taarifa zake tusisite kupeana...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom