Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

kama unajua nijulishe
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari! Mdau yeyote mwenye taarifa ya nyumba ya kupanga maeneo ya Kimara,Ubungo au Mwenge. Iwe na sifa hizi: - Vyumba vya kulala 2 au 3 (+ 1 Master bedroom); Sebule, dining, public toilet...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hope wote mpo wazima. Natafuta nyumba ya kupanga, lakini iwe maeneo ya kariakoo, but then kuna dalali mmoja kanikatisha tamaa kaniambia sintopata chini ya $600 mpaka $700 tena in dollars na hiyo...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Natafuta mbao used 2*4 pcs 100 & 1*8 pcs 60.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TIFFANY SECRETARIAL SERVICES SINZA,MAPAMBANO MAFREM YA BLUU .OPPOSITE LULU & UTOJI SOCIAL HALL. PRINTING BLACK A4 = 100 PRINTING BLACK A3 =300 PHOTO COPY A4 = 50 PHOTO COPY A3=100...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Naomba msaada kwa anayejua duka lolote linalouza spea za SUZUKI AERIO
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nauza mtambo. Nissan patrol(Safari) 1998 engine 4500cc 7 seater Automatic gearbox Rangi ni metallic grey Ni bomba kabisa na ipo DAR Price negotiable niPM Haya wakuu leteni offer za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa yeyote anaetaka viwanja vya kujenga nyumba, Shule, Yadi, Petrol Station na nk. Call 0754383174
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Petrol Station ipo Kwa Mfipa inauzwa. Kituo kipo kabda ya stand Kwamfipa upande wa kushoto kuelekea Morogoro, kinafanya kazi kuna Pump 4, tanki 4. Tanki 2 za ujazo wa lita 25,000@moja. Tanki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nokia e63 inauzwa kwa tsh 180,000/= contact 0682007117. Or ni pm kama upo interested. Condition yake ni nzuri.
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Nimepata habari njema toka kwa member mwenzetu mtukuka JF senior Expert Yo Yo kuwa atashindwa kujumuika nasi kwa takribani siku zaidi ya kumi kwa sababu atakuwa kwenye mapumziko mafupi.Amesema...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Ipo changombe, karibu na maduka mawili na kona ya barabara ya kuelekea ukumbi wa sigara inatazama barabara ya changombe. Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka la kawaida, duka la dawa, saloon...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Price: TZS 550,000 as Rent per Month Address: Ununio Beach / Boko Basi, Kunduchi Dar es Salaam Property Profile Property Type: House Property Style: Detached Bedroom(s): 4 Bathroom(s): 2...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Wakuu, hebu nijuzeni ni wapi naweza kwenda kuna waalimu wazuri wa advanced MS EXCEL? Msaada wenu tafadhali
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamii naomben mnisaidie natafuta housegel toka sehemu yoyote tanzania.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari yako msomaji, Naomba msaada, natafuta orodha ya radio mpya zitakazo anza kurusha matangazo yake/ambazo zimeanza kurusha matangazo yake 2011. Natafuta majina na contact zake. Naamin hapa Jf...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Poleni kwa kazi wandugu, Napenda kutambulisha kwenu firm yetu (Interim Hospitality Consultancy) inayotoa ushauri katika Hotel, Lodges, Camps and Tours. We do a lot from project conceptualization...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamii kwa yeyote ambaye anahitaji kiwanja maeneo ya Kigamboni Dege, tuwasiliane kupitia namba 0767 616 800 au 0712 800 616 Upande wa magharibi bahari ipo umbali wa KM 1 na nusu Upande...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Eka 3 zinauzwa Kibaha kongowe njia ya kuelekea Soga,eneo limeanzia barabarani umeme upo maji.eneo lipo km 2 toka old Morogoro Road Bei Mil 15. Hapajapimwa pazuri sana. Call 0754383174.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Eneo linauzwa Kibaha kati ya Tanita na kwa Mathias, eneolipoupande wa kushoto kuelea Morogoro. Eneolipo mita 100 toka Morogoro Road. Panafaa kwa Yadi,kiwanda. Kujenga shule. umeme Maji vipo Piga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom