Vijana wa kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wa kazi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jumakidogo, Sep 24, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Sep 24, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  DODOMA SANAA GROUP. Kazi za sanaa, tunachora michoro ya aina mbalimbali, mabango, mafundi bingwa wa rangi na ujenzi. Tunaandika mashairi na ngonjera kwa ajili ya sherehe mbalimbali kwa kiwango cha juu. Pia wapo mabingwa wa kuandika hadithi za filamu. Wasiliana nasi kwa .0755243445, 0764561078, 0658744443. dodomasanaa@gmail.com, au jumakidogo@gmail.com, Mashairi, ngonjera na hadithi utatumiwa kwa njia ya email.
   
Loading...