Nahitaji mawazo ya watanzania wenzangu!

agala

Member
Sep 13, 2011
57
0
Kwani kuna umuhimu wa kutangaza biashara yako kwenye mitandao?

kwakunisaidia zaidi ili nipate success kwenye biashara yangu nitajie sehemu ninazoweza kutangaza au ninaweza kupata system ya online inayoweza kurahisisha
zaidi kuhusu ili swala coz nimeipata moja inaitwa jigambeads inapatikana mitandaoni.
 
Timo

Member
Sep 14, 2011
33
95
Ni vizuri kutangaza biashara yako online kwasababu ya kuepuka usumbufu hasa kupoteza muda wako wa kufanya mambo mengine, na inakurahisishia kutangaza kwa watu wengi na kwa bei nafuu, na hiyo JigambeAds ndiyo mpango mzima!
 
Makindi N

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
1,068
1,250
Kwani kuna umuhimu wa kutangaza biashara yako kwenye mitandao?

kwakunisaidia zaidi ili nipate success kwenye biashara yangu nitajie sehemu ninazoweza kutangaza au ninaweza kupata system ya online inayoweza kurahisisha
zaidi kuhusu ili swala coz nimeipata moja inaitwa jigambeads inapatikana mitandaoni.

Sasa kwanini umeamua kuuliza swali na kulijibu mwenyewe au kutoa alternatives........?
 
mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,803
2,000
Kwani kuna umuhimu wa kutangaza biashara yako kwenye mitandao?

kwakunisaidia zaidi ili nipate success kwenye biashara yangu nitajie sehemu ninazoweza kutangaza au ninaweza kupata system ya online inayoweza kurahisisha
zaidi kuhusu ili swala coz nimeipata moja inaitwa jigambeads inapatikana mitandaoni.
umeuliza swali na kujijibu..................tunafahamu unatangaza website yenu ni kweli lakini sio unakuja kitoto hvo
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,053
2,000
Na sio thread hii tu,
Wamechafua zingine kibao tu,
Mod nawaomba muunganisheni huu uchafu wao wote waliouweka humu!!
"........., Kibaya chajitembeza"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom