KARIBU:Wataalamu NA WAZOEFU wa ELECTRICAL AND SOLAR INSTALLATIONS...!

jumbo-solar

New Member
Sep 20, 2011
2
0
hii ni kampuni inayoshughulika na maswala ya solar and electrical installation

Sehemu tulizo bobea kwa ujumla:


  1. General domestic and industrial electrical installation.
  2. Electrical machines and equipments installation, service and maintenance.
  3. Industrial and domestic health and safety electrical practice consultation as well as training.
  4. Stand alone PV solar systems and hybrid sizing, installation, services and maintenances.
  5. Backup system sizing, installation, services and maintenances.
  6. Training and consultations on best practice, technical and use of PV solar and backup systems

kwa huduma, Mawasiliano;

Hot line; +255 784 851656
Email: jumbosales.jumbo@gmail.com
 

twatwatwa

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
2,067
416
Jamani ofici ipo wapi ?. Betri watt mia sh ngapi ? .panel watt mia shs ngapi ? Nijulisheni nione tofauti yenu na wengine
 

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,215
1,657
Mmebobea bila kujulikana!

Solar Installation? Me nilizania Mwatengeneza wenyewe kumbe mnasaidia kusoma Manual tu ndio Kubobea huko?

So hizo Solar Power Mnanunua China?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom