Kwa wakazi wa Arusha.!?

Kayoka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
2,076
1,496
Naomba msaada wenu nahitaji kupata laptop Dell latitude ya 4GB (new/used) kwa matumizi ya kawaida ni wapi naweza kununua,? Bei ya kulipa laki 4 to 4.5. Naomba mnijuze wandugu na wenyeji wa maeneo haya.

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,167
1,116

4gb ram au nini kaka?? Kama ni ram, basi bei yako ipo chini sana,,, mimi nipo arusha, nina dell inspiron, ina 500gb hard disk, 4 gb ram, na processor mbili, nimeitumia kama miezi mi3, ipo in good condition kbsa, lakini naiuza kwa laki 7 mkuu

yap ndugu yangu ram 4gb. Vp kwa cash yangu niweza pata laptop? Iwe ya mavizi ya kawaida, hasa dell au hp..

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,167
1,116

yap ndugu yangu ram 4gb. Vp kwa cash yangu niweza pata laptop? Iwe ya mavizi ya kawaida, hasa dell au hp..

mkuu kusema kweli fairly laki nne utapala labda 1gb ram,, na 80 au 120 gb harddisk... Unless otherwise iyo ya 4 gb ram iwe ya wizi o sthng,, lakini laki nne upo chini sana mkuu,,, ingia kwa benson au sound n vision uchek bei za mashine, zipo juu kaka

comred

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
1,867
1,599
dextop sokon ram2gb inaambatana na prnter coloured.. vpy archtct e.m na ndugu eddy88 atakaye itaka awasiliane nami mapema

Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,271
4,541
Naomba msaada wenu nahitaji kupata laptop Dell latitude ya 4GB (new/used) kwa matumizi ya kawaida ni wapi naweza kununua,? Bei ya kulipa laki 4 to 4.5. Naomba mnijuze wandugu na wenyeji wa maeneo haya.

Jaribu COMPUCAT TECHNOLOGIES, Barabara ya Goliondoi wana computer mpya (model za zamani) ni around US$ 440

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,167
1,116
@ comred.... Bei gani mkuu?? Nikutumie pesa sasa ivi uniuzie??? Nahitaji sana mali kama hizo,, c unajua kupiga autocad na archicad?? Na iyo printer niprint na michoro yangu kbsa

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,173
3,330
Naomba msaada wenu nahitaji kupata laptop Dell latitude ya 4GB (new/used) kwa matumizi ya kawaida ni wapi naweza kununua,? Bei ya kulipa laki 4 to 4.5. Naomba mnijuze wandugu na wenyeji wa maeneo haya.
Kwa bei hiyo utapata Dell ya kawaida labda D600 au D620 tena itaanzia laki 4.5 - 5.5. Kwa msaada muone jamaa mmoja anaitwa Castro yupo jengo la NHC kilipo kituo cha Modern Driving School. Mtafute kwa 0713508235 mtaelewana.

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,173
3,330

mkuu kusema kweli fairly laki nne utapala labda 1gb ram,, na 80 au 120 gb harddisk... Unless otherwise iyo ya 4 gb ram iwe ya wizi o sthng,, lakini laki nne upo chini sana mkuu,,, ingia kwa benson au sound n vision uchek bei za mashine, zipo juu kaka
Tuwasiliane basi mkuu kumbe upo Arusha!

0 Reactions
Reply
Top Bottom