KIWANJA! KiWaNja! kiwanja!

GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
716
292
Kiwanja kinauzwa kipo mita 800 kutoka NJIA PANDA(HIMO) kama unaelekea Dar-es Salaam ukitokea Arusha,ukubwa wake ni heka moja kimepimwa kama eneo la mji kwa ajili ya maandalizi ya jiji la Moshi.kinapakana na barabara ya Arusha - Dar kinafaa kuweka Sheli, hospitali shule,maghala na mengineyo.bei ni maelewano, anayehitaji ani PM Kwa maelewano zaidi.wote mnakaribishwa.
 
Njia panda ya Himo, KIA, Majengo au wapi?
Mbona mnapenda kuweka post zisizokamilika?
Mtajifunza lini kufanya Biashara nyinyi watu?
Yaani unaandika utafikiri watu wanapajua hapo "njia panda" kwako!!
 
Njia panda ya Himo, KIA, Majengo au wapi?
Mbona mnapenda kuweka post zisizokamilika?
Mtajifunza lini kufanya Biashara nyinyi watu?
Yaani unaandika utafikiri watu wanapajua hapo "njia panda" kwako!!

duuuuu!kazi ipo,tangazo mbona linajitosheleza nadhani haupo makini,all the best Njia panda ya himo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom