Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Blackberry Torch 9800 used for 4month for sale, iko kwenye condition safi sana kana inavyoonekana kwenye picha. Bei ni 500,000Tshs kwa anaye hitaji please check me on watchesandmobile@gmail.com...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wakuu! Nahitaji gari dogo la kukodi hapa DSM kwa ajili ya kuendea kazini mainly. Nitaendesha mwenyewe au nikipewa na driver itakuwa bora,kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 6usiku maximum Ni...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
suzuki escudo, ipo kwenye hali bomba,imetembea KM 78000; petrol engine, manual flow gear, AC&CD player vpo safi kabisa. Bei 7mil. Kama kuna muhitaji ani pm.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta mhandisi wilaya wa Kinondoni ili anijulishe gharama za kupitisha ramani kwa ajili ya building permit. Kama wewe ni trust worth engineer tafadhali ni pm.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za shughuli wadau, Nimepata uhamisho wa kikazi ghafla juzi kwenda mkoani. Nyumba hii nilikuwa nimehamia mwezi huu yani yaani tarehe3, lakini ndiyo hivyo tena risks ambazo siku-foresee...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninauza simu smartphones, zipo 3 1.HTC tattoo bei 130.000 Tshs. 2. samsung galaxy mini (GT-S5570) bei 150.000 Tshs. 3.Nokia Xpress 5230 bei 120.000 Tshs. Simu zote zimetumika (UK) lakini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Size: 40*30 6 milion size: 25*25 3milion size: 25*20 2.5milion (all infrastructures are available like power, water and road) call: 0715055577/0769055577.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Its used and for information text me on 0713079282
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau, Nahitaji gari zifuatazo kama kuna mtu anauza. Iwe imetumika kati ya mwaka mmoja hadi miwili, na iwe katika hali nzuri. Bei ni maelewano kutokana na hali ya gari. - Toyota Premio, 1800cc...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nauza gari aina ya Vitz ni ya mwaka 2001
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Iwe used but good condition, vitu vyote viwepo,nyeusi
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Habari za shughuli wadau, Nimepata uhamisho wa kikazi ghafla juzi kwenda mkoani. Nyumba hii nilikuwa nimehamia mwezi huu yani yaani tarehe3, lakini ndiyo hivyo tena risks ambazo siku-foresee...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Simu zinauzwa,bei ni 150,000 kila moja,kwa yeyote anayehitaji apige 0767 726964.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Isuzu Trooper ya mwaka 1993. Ipo Mbezi ya Kimara. Excellent Condition. Bei 16m. Magari mengine ni - Kia Saloon 8.5 m ipo Znz. Contact me for more details.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mpya haikuwahi tumika.nicheki kwa namba 0655945598.
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Wazee nahitaji msaada ,kuan ndugu yangu anataka nimtumie documents zake ..kutoka hapa TZ kwenda moscow.ila mimi nipo mkoani nataka msaada wenu kuhusu gharama.documents zenyewe haizizidi kilo moja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana jamvi , nimeanzisha ka NGO kangu natafuta mtalaam wa kunitengenezea ka website ambako si a ghali sana . Email yangu - mn04363@googlemail.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iwe ina run on hspda,cdma!!!
0 Reactions
0 Replies
894 Views
premio nzuri sana year-1999 Engine -3s Call- 0719539431 (larson) Fuel-Petrol Condition -Excellent Transmissions -Aromatic Price-7.5 Million...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa maeneo ya magomeni kagera ni yakukarabati kidogo tu ni ya vyumba 6 na mabanda ya uwani mawili, bei ni mil 70 gari inafika adi mlangongoni cm yangu,,0767 666137
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom