Natafuta nyumba ya kupanga tafadhali help me out

Mutu

JF-Expert Member
Mar 30, 2008
1,329
47
Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili maeneo Kimara,ubungo,mbezi,kijitonyama,mwenge.....kodi TSH300,000-TSH400,000,ikipungua ndio furaha yangu.

Tafadhali mwenye maujuzi haya nisaidie.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Ikiwa na parking itapendeza zaidi ..yaani fence.
 
Watu bana ati wanapita tu mnataka niwe homeless nini....!!!????

Tafadhali wengine dar wageni tunatoka mpitimbi..
 
Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili maeneo Kimara,ubungo,mbezi,kijitonyama,mwenge.....kodi TSH300,000-TSH400,000,ikipungua ndio furaha yangu.

Tafadhali mwenye maujuzi haya nisaidie.

Natanguliza shukrani zangu.

mtwangie huyu 0787-153880,ana nyumba Mwenge.
 
Poa nitamcheck ,si ni dalali ! Kama ni dalali ni awe yule anaye kupeleka kuona jinsi unavyotaka sio kukuonyesha mitaa ,vichochoro na vitongoji vyake.

Thanks nitamcheki najua atakuwa msaada..
 
Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili maeneo Kimara,ubungo,mbezi,kijitonyama,mwenge.....kodi TSH300,000-TSH400,000,ikipungua ndio furaha yangu.

Tafadhali mwenye maujuzi haya nisaidie.

Natanguliza shukrani zangu.

Call 0655370605 katakweba
 
Mimi ninayo, iko mbezi Luis bei 450,000 ina ina fance ya ukuta, ina kisima cha kuhifadhi maji lita 12,000 na car park.
call +255 714 432979
 
Hiyo hela mingi sana utapata nyumba nzuri tu usitoe 400 000 nenda pale cinza lyon karibu na baa uliza pale kwa muuza chips wapi nyumba inapangishwa atakuonesha unaenda mwenyewe kukwepa hela ya udalali au vp
 
NYUMBA YAPANGISHWA
Nyumba umepata. Ipo Kimara Mavurunza mita chache kutoka ''Morogoro road''. Ina vyumba vinne vya kulala(kimoja master bedroom, self contained). Ina sebure kubwa yenye ukubwa wa sqm 40, jiko lenye ukubwa wa sqm 15, na store yenye ukubwa wa sqm 6. Sakafu ya nyumba yote imewekwa tiles. Ina uzio. Ina bustani iliyosheheni miti. Maji yapo. Kodi shs 350,000/- kwa mwezi.
 
Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili maeneo Kimara,ubungo,mbezi,kijitonyama,mwenge.....kodi TSH300,000-TSH400,000,ikipungua ndio furaha yangu.

Tafadhali mwenye maujuzi haya nisaidie.

Natanguliza shukrani zangu.

Ipo kimara temboni, ni bedroom mbili na mpya wasiliana na huyu bei Tshs 200,000/=

0767 483665
 
NYUMBA YAPANGISHWA
Nyumba umepata. Ipo Kimara Mavurunza mita chache kutoka ''Morogoro road''. Ina vyumba vinne vya kulala(kimoja master bedroom, self contained). Ina sebure kubwa yenye ukubwa wa sqm 40, jiko lenye ukubwa wa sqm 15, na store yenye ukubwa wa sqm 6. Sakafu ya nyumba yote imewekwa tiles. Ina uzio. Ina bustani iliyosheheni miti. Maji yapo. Kodi shs 350,000/- kwa mwezi.

It sound good to me ....inapatikanaje sasa...nimwagize mtu akutane nawe
 
Hiyo hela mingi sana utapata nyumba nzuri tu usitoe 400 000 nenda pale cinza lyon karibu na baa uliza pale kwa muuza chips wapi nyumba inapangishwa atakuonesha unaenda mwenyewe kukwepa hela ya udalali au vp

Bar gani sawai? au pale ipo kuwa garage zamani? au mat()ko bar?
 
Ipo maeneo ya kimara Resort. Naptikana maeneo ya Goig Mbezi Beach opp na Sharmo Pack. Ulizia Seven Estate Agent. aAu piga simu 0717114409
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom