wakuu wote wa tanzania kipato cha chini. hivyo kizuri kula na wwenzako
kwa wale wapenzi wa DSTV instead of kulipia 120 kwa mwezi na bla bla ahhahaha watu wameoibua chimbo.
anayetaka huduma ya...
Nataka semetrela scania 113 horse power 320 elio kwenye hali nzuri tairi safi rangi na engine bomba scania na trela yake trela yake bei iwe reasonable sms 0787139327
Hii ni Camera ya kazi inawafaa wale wenyekushughulika na uandishi wa habari au wenye kushughulika na mambo ya shooting movies n.k.Ni Camera nzuri sana na imetumika lakini ipo katika hali nzuri...
Wanaojua au wenye kufanya biashara hiyo kuna mwanafunzi mmoja toka nje ya tanzania atakua kutembelea Tanzania. Anapendelea furnished studio badala ya hotel. Ni mwanafunzi hivyo anahitaji cheap...
SIZE: 1200 Sqm (1 plots) AU 30 KWA 40
BEI: MIL 25
SIFA YA KIWANJA
ENEO LINA HATI MILIKI HALALI
KIWANJA KINA MIUNDOMBINU YOTE MAJI NA UMEME VIMEFIKA KATIKA KIWANJA
GARI AINA ZOTE ZINAFIKA...
SIZE: 1200 Sqm (1 plots) AU 30 KWA 40
BEI: MIL 25
SIFA YA KIWANJA
KIWANJA KINA MIUNDOMBINU YOTE MAJI NA UMEME VIMEFIKA KATIKA KIWANJA
GARI AINA ZOTE ZINAFIKA MPAKA KATIKA KIWANJA BILA...
Na mwana wa mwanadamu ana hita mahali pa kuweka kichwa!
Eniwei, wakubwa..nahitaji kachumba cha kupanga Dar..ningependelea chenye bedroom,jiko, bafu/choo, na sebule..but all available otpions are...
Nina all in one lexmark x543dn boxed iko mwanza na kyocera printer na acer laptop na digital camera tatu boxed za kuuza kama mtu anazitaka ani pm nimuelekeze sehemu ya kwenda kuziona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.