Sony ericsson XPERIA 10i yaku tachi tu haitumii batani nauza bei sawa na buree

andy mchokozi

Member
Jan 25, 2012
42
5
Hiyo hapo kwenye attachment, au unaweza kui Google ujionee mwenyewe.
Inauwezo wakuchukuwa Quality Video hata iwe usiku kwani ina outmatic light..
Camera ndio usiseme kwani inachukuwa saiz yoyote unayoitaka,
Video Quality,
Stereo earphones..
bei sh. laki na 90 tu, imetumika wiki 3 tu.
kama uko seriaz ni pm au ni text hata kunipigia,
0713133633
 
Safi sana tunaitaji watu kama nyinyi lengo kila mtu awe dunia nyingine sio wanao taka kutajilika hapa.
 
Hiyo hapo kwenye attachment, au unaweza kui Google ujionee mwenyewe.
Inauwezo wakuchukuwa Quality Video hata iwe usiku kwani ina outmatic light..
Camera ndio usiseme kwani inachukuwa saiz yoyote unayoitaka,
Video Quality,
Stereo earphones..
bei sh. laki na 90 tu, imetumika wiki 3 tu.
kama uko seriaz ni pm au ni text hata kunipigia,
0713133633

sorry bro ikiwa dukani inauzwa bei gani?
 
nimeiona kwenye google, na nimeikubali, ila kwa wiki hii nipo kushoto. kama itakuwepo hadi wiki ijayo j4 nifahamishe kwenye 0713000825
 
kumbuka ni ile mini, yan ndogo
kuliko zote

Andy i tried to google it but most likely inaniletea matokeo ya xperia 10i mini yenye qwerty keypad... Yenye 2.5 tft screen...
HEBU TUWEKEE PICTURE TUJIHAKIKISHIE BWANA..
Pia specs zake like
___________________
BATTERY LIFE......
Camera pixels.......
Internal memory.....
android version ipi (1.6/2.1 etc).....
Radio..........
PERSONALLY I'M VERY SERIOUS NAITAKA HIYO KI2 BUT am kinda dillema...
 
dah kaka nikupe kwanza pole kwani imeshagombaniwa kama njugu vile..
yenyewe ni 2.5 ft screen siyo ya ku slide.
internal battery inakaa muda mrefu zaidi.
imeshauzwa tayari, sory man
 
Back
Top Bottom