Samaki wazuri wa kubanikwa kutoka mwanza wanapatikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samaki wazuri wa kubanikwa kutoka mwanza wanapatikana

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mama Diana, Apr 12, 2012.

 1. M

  Mama Diana Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samaki wazuri wa kubanikwa kutoka ziwa victoria.bei inaanzia 3000 hadi 5000 kulingana na ukubwa wao.kwa mawasiliano piga no 0754621676.

  :welcome:
   
 2. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wakubanikwa au Vibambala?
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Ndo wale mlio kuwa mnauza ubungo kabla ya ffu kuwafurusha
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jamani si mkawaone? Mbona mnajudge kabla hamjaona ubora wenyewe
   
 5. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 3,976
  Likes Received: 1,589
  Trophy Points: 280
  Hao samaki wanapatikana wapi, ni hapa Dar nilipo miye au mkoa gani tujuze kwa faida ya wengi!
   
 6. M

  Mama Diana Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu nipo dar na ni wa kubanikwa
   
 7. M

  Mama Diana Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umejaaa dharau wewe yaani sitaki hata niongee kwani usipoandika kitu utakufaa
   
 8. M

  Mama Diana Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaap nipo dar mpendwa nipigie kwenye namba niliyoweka hapo kwa maelezo zaidi
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  nitakutafuta muda si mrefu ....ok
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mama Diana hao samaki kwa supu asubuhi wanafaa?
   
 11. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 945
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  binafsi nawakubali kwa saana tu! hapa nilipo namdai mtu samaki wangu tabu uko mbali ningekuwa mteja wako mzuri ni wazuri na salama zaidi watu hawajui tu keep it up!
   
Loading...