Mahindi yanauzwa dodoma

Mahindi yanauzwa dodoma

kilya

New Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Wadau,

Kwa anayehitaji mahindi ya mwaka jana, yanapatika mkoani Dodoma. Kwa details zaidi piga 0682 716931.
 
Wadau,

Kwa anayehitaji mahindi ya mwaka jana, yanapatika mkoani Dodoma. Kwa details zaidi piga 0682 716931.

Teteteteeeee! ulijua bei itapanda upate super profit! pole sana mkuu next time hupaswi kuchelewa kiasi hicho!
 
harafu hujui hata kutangaza biashara ndio maana yanakudodea, unadhani kuna mtu anaweza kupiga simu bila kupata details za kumridhisha au kueleweka? inawezekana hujapigiwa simu siku nyingi unasingizia mahindi ya mwaka jana
 
weka bei mkuu!hapa dar yanapatika hifadhi ya taifa sh 400 kilo
 
Baba humu ukiweka bei km ni juu utasutwa, ndio maana umeogopa?

Weka bei utauza! Hakika
 
Back
Top Bottom