Tangazo: Gari inauzwa

Tangazo: Gari inauzwa

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
563
Reaction score
471
Habari za majukumu wakuu, natumai mna afya njema.

Ninauza gari yenye maelezo yafuatayo:

Aina: Nissan Bluebird
Year of make: 1995
Colour: Dark Metallic Blue (imeungua na jua)
Odometer: 127,000
Fuel: Petrol
Cc: 2000
Transmission: Automatic
With A/C, CD and tape player, airbag.


Gari ipo Dar. Imeingia nchini mwaka 2006 kutoka Japan na imetumika na mmiliki mmoja tu mpaka leo.

Inatembea ila imepauka rangi na driving shafts zimeisha. Road licence na Insuarance zipo valid ila zinaisha mwezi wa 6

Gari inauzwa 3.5m (Tshs. 3,500,000/= mazungumzo yanakaribishwa)

Kwa anaehitaji hii gari apige namba 0715555512 au 0787111123 kwa ajili ya kuja kuiona au kwa mapatano yoyote. Ahsanteni
 

Attachments

  • 10042012092.jpg
    10042012092.jpg
    332 KB · Views: 157
  • 10042012093.jpg
    10042012093.jpg
    384.2 KB · Views: 150
  • 10042012094.jpg
    10042012094.jpg
    408 KB · Views: 119
  • 10042012097.jpg
    10042012097.jpg
    222.6 KB · Views: 88
  • 10042012096.jpg
    10042012096.jpg
    240.3 KB · Views: 95
Hii gari yako haiwezi kuwa Imeingia nchini mwaka 2007 kutoka Japan halafu iwe na namba ACX,
2007 Plates number zilikuwa zinasoma AN...kwenda mbele!!
 
Hii gari yako haiwezi kuwa Imeingia nchini mwaka 2007 kutoka Japan halafu iwe na namba ACX,
2007 Plates number zilikuwa zinasoma AN...kwenda mbele!!

Sawa mkuu nimekusoma, ilikuwa ni kosa la kiuandishi, imeingia 2006.
 
Ngoma six cylinder plus spea zake utalia kila la kheri kwa atakae nunua.
 
Ngoma six cylinder plus spea zake utalia kila la kheri kwa atakae nunua.

Hii yangu sio six cylinder, ni four cylinder na spea hazina magumashi km za Toyota zilizojaa minadani! Ukitaka maduka zilipo spea njoo nikuelekeze.
 
hii gari yako haiwezi kuwa imeingia nchini mwaka 2007 kutoka japan halafu iwe na namba acx,
2007 plates number zilikuwa zinasoma an...kwenda mbele!!

uko juu kijana. Hupitwi na mada, wengine tunapita tu
 
Nissan bluebird???Na wewe uliingia chaka kwakuwa hukuwa unajua mwenyewe mjep anaiogopa wewe ilikuwaje??Ntarudi niwape kisa cha gari hiyo!!
 
Nissan bluebird???Na wewe uliingia chaka kwakuwa hukuwa unajua mwenyewe mjep anaiogopa wewe ilikuwaje??Ntarudi niwape kisa cha gari hiyo!!

Sikuingia chaka, tatizo letu tumezoea gari ambazo spea hata kwny vibanda vya sigara zinapatikana. Mi nilinunua kitu cha uhakika ambacho kinakidhi thamani ya madafu yangu! Karibu sn na visa vyako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom