Johnson_Siame
Member
- Apr 5, 2012
- 29
- 1
Nauza body ya gari aina ya mistubishi Chariot ni lina kila kitu lakini engine yake ndo inasumbua, kwahiyo unaweza weka engine ya Rav 4 na ukaendelea kuitumia bei ni million 3 tu, gari ni ya japan, ni ya 1997....kama unaitaji nipigie 0652110878, sitaki dalali!