Nyumba kubwa yakisasa inapangishwa bei sawa na bure

Nyumba kubwa yakisasa inapangishwa bei sawa na bure

andy mchokozi

Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
42
Reaction score
5
inapatikana tabata bima opposite na st.mary.
ni self container yenye vyumba 4,
unaweza paki gari hata 5,
ina uzio mkubwa na bado mpyaaaa,
bei yake ni sh. laki 4 na unalipia miezi kuanzia 6.
haina dalali.
0713133633
 
Kodi haipungui kama nitalipia kwa mwaka mzima??
 
Kaka mimi niko Litapwasi naweza kupata maeneo haya?
 
Back
Top Bottom