Nokia c6, 5800 au 3g nokia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nokia c6, 5800 au 3g nokia

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Gele vaheke, Apr 13, 2012.

 1. Gele vaheke

  Gele vaheke Senior Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kiukweli ni kwamba sina uwezo wa kuingia dukani na kuulizia hizi simu naomba mwenye nayo bei ninayo laki mbili ,iwe ina uwezo wa 3g au touch screen iliyo tumika ila isiwe mbovu hii kwa watu wa dar tu
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Leta laki na nusu nikuuzie simu ina 3G na Touch screen,kama upo fresh njoo PM
   
 3. Gele vaheke

  Gele vaheke Senior Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oya niko siriaz jamani
   
Loading...