NGUO ZA MTUMBA {grade' A''ubora wa hali ya juu }KWA KINA DADA, MAMA NA WATOTO WA JINSIA ZOTE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NGUO ZA MTUMBA {grade' A''ubora wa hali ya juu }KWA KINA DADA, MAMA NA WATOTO WA JINSIA ZOTE

Discussion in 'Matangazo madogo' started by nguo, Apr 12, 2012.

 1. n

  nguo Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  wana jf poleni na majukumu ,napenda kuwajulisaha kwamba ninauza nguo za mtumba zenye ubora wa hali ya juu,nguo hizo ni za wakina dada,wakina mama na watoto wa jinsia zote.size zotezinapatika, aina ya nguo ni sketi, blauzi,magauni kwa ajili ya maofisini kanisani,msikitini, kwenye sherehe mbalimbali na pia casual,bei inaanzia elfu 10,000/=na kuendelea
  ninapatikana sinza kwa remi kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0715405027au 0755405027.kwa wale wanaohitaji privacy wanipigie simu tukikubaliana watapelekewa mzigo hadi nyumbani iliwachague.kwa wakazi wa mikoani wpige simu twasiliane jinsi ya kuwatumia mzigo.huduma hii inapatikana siku zote za wiki.nyote mnakaribisha
   
 2. F

  Fofader JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Weka umri wa watoto. Kila mtu humu JF ni mtoto kwa sababu ana baba yake na mama yake.
   
Loading...