Kuna mtu humu ana deal na hiyi biashara ya kujaza upepo na kuziba pancha?Shida yangu ni kujua bei ya ile mashine ya ku press tairi na compressa kubwa na mchanganuo kidogo wa biashara...
Jamani naiuza ipo moja na inafanya kazi ipo barabarani ipo vizuri sana engine yake isipokuwa body lakufanyia marekebisho kidogo kama vile turubai kununua lakini ni nzima sana.
Sababu yakuuza...
kwa wale wote wanaoojenga na wapo kwenye hatua za kuweka fremu za milango wanione. Fremu zinapatikana kwa gharama ya sh. 110,000 tu. Mbao inayotumika ni mninga pure .
Unatoa order yako pamoja na...
Kioo cha computer yangu kimepata ufa, Nahitaji mwenye uwezo wa kunitaftia kioo pekee (Display) LCD-Flat Screen 19 Inches, ANIPIGIE SIMU TUONGEE BIASHARA: 0652416300
KAZI ZIMESIMAMA: Natumia...
Tunakata viwanja maeneo haya:-
Bunju km 1 kutoka bagamoyo road 30 kwa 40 bei 16.5ml
Mwanzoni mwa mapinga mbele kidogo ya bunju B km 2 kutoka bagamoyo road 20 kwa 25 bei 7ml
Goba karibu na stand...
Salam wadau...nimeuza gari langu na nimeagiza lingine nahitaji gari ya kukodi kwa bei nzuri (fair) kwa wiki 3...kuanzia carina...premio..vits...gx100..ilimradi iwe nzima tu.Naomba mwenye nalo au...
wadau salaam ziwafikie huko mliko
jaman nahitaj fund mzur wa
wa ujenz ambaye anaefanya deco wall.. hasa nahitaj concrete wall stamping na floor stamping..
anaeweza ani PM ama kama kuna mtu...
Mashine ya kupigia tofali na vibao vyake viko 500 inauzwa, inatoa tofali moja la 5.5", iko Dar, ilitengenezwa December, 2015 na TDTC pale UDSM, iko imara sana.
Kwa bei ni 900,000 (Maelewano...
Habari wana JF kama kakichwa kalivyojieleza natengeneza application za simu android kwa Tsh 50000 Tu app ninazotengeneza ni za blog/web za habari na makala n.k
ni cheki whatsapp/call
759202132...
Wasalaam waleikhu na bwana asifie kwenu, natumaini nyote mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa Taifa letu hili.
Dhumuni la kuandika thread hii ni kupenda kuwatangazia umma kuwa nauza maeneo...
Aina : Isuzu siti 30 ilkua school bus.. inauzwa baada ya shule kufilisika ipo vizuri bei milioni 13.. kwa mawasiliano 0654314066
0768240404
0688314066
Npo ubungo riverside.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.