SaaMbovu JF-Expert Member Oct 8, 2013 6,027 5,344 Feb 15, 2016 #1 Nahitaji Rav 4 J au L old model. Iwe katika hali nzuri. Ya Milango 5. Kama mtu anayo aniambie.
SaaMbovu JF-Expert Member Oct 8, 2013 6,027 5,344 Feb 15, 2016 Thread starter #3 Smokey D said: Kuna milango mitatu.. Click to expand... Hiyo haita nifaa.
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,320 18,846 Feb 15, 2016 #4 SaaMbovu said: Nahitaji Rav 4 J au L old model. Iwe katika hali nzuri. Ya Milango 5. Kama mtu anayo aniambie. Click to expand... Mwaka gani.......?....
SaaMbovu said: Nahitaji Rav 4 J au L old model. Iwe katika hali nzuri. Ya Milango 5. Kama mtu anayo aniambie. Click to expand... Mwaka gani.......?....
SaaMbovu JF-Expert Member Oct 8, 2013 6,027 5,344 Feb 15, 2016 Thread starter #5 Preta said: Mwaka gani.......?.... Click to expand... Sema unayo ya mwaka gani.
SaaMbovu JF-Expert Member Oct 8, 2013 6,027 5,344 Feb 15, 2016 Thread starter #6 Preta said: Mwaka gani.......?.... Click to expand... 1999 or 2000