Salam wadau...nimeuza gari langu na nimeagiza lingine nahitaji gari ya kukodi kwa bei nzuri (fair) kwa wiki 3...kuanzia carina...premio..vits...gx100..ilimradi iwe nzima tu.Naomba mwenye nalo au anaemia mwenye nalo aniunganishe.Asanteni na kwamawasiliano namba ni 0689900000.