C chajasho Member Dec 7, 2015 20 1 Feb 15, 2016 #1 Husikeni wadau bajeti yangu ni milioni 12 natafuta gari Niko Moro 0752048709
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,725 Feb 15, 2016 #2 Duh! Kwa bei hiyo utapata iliyotumika sana. Ila vile vi gari me navikubali sana. Vina roho ngumu kama ya paka na vinadumu sana...
Duh! Kwa bei hiyo utapata iliyotumika sana. Ila vile vi gari me navikubali sana. Vina roho ngumu kama ya paka na vinadumu sana...
Kimolah JF-Expert Member Mar 22, 2011 562 763 Feb 15, 2016 #3 Nenda boma road, tengoz auto wanaweza kukusaidia
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 87,081 120,411 Feb 15, 2016 #4 Ongeza hela nikupatie gari .....?
C chajasho Member Dec 7, 2015 20 1 Feb 16, 2016 Thread starter #5 Niongeze ngapi mrangi bajeti yangu inasuasua
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 87,081 120,411 Feb 16, 2016 #6 Ntakupigia simu ?je biashara hiyo ni ya uhakika je wewe ni mnunuzi moja kwa moja au mtu wa Kati! chajasho said: Niongeze ngapi mrangi bajeti yangu inasuasua Click to expand...
Ntakupigia simu ?je biashara hiyo ni ya uhakika je wewe ni mnunuzi moja kwa moja au mtu wa Kati! chajasho said: Niongeze ngapi mrangi bajeti yangu inasuasua Click to expand...
C chajasho Member Dec 7, 2015 20 1 Feb 16, 2016 Thread starter #10 Kama unayo niione turidhiane bei tufanye biashara